Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete akabidhiwa shahada ya kwanza ya heshima ya uwajibikaji

Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela kimemkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete shahada ya kwanza ya heshima aliyotunukiwa na chuo hicho disemba 18 mwaka jana, kutokana na juhudi yake ya kuchochea maendeleo ya sayansi na teknolojia nchini.

Shahada hiyo ni sehemu ya chuo hicho katika kuonyesha heshima na uthamini wa juhudi za rais Kikwete kwenye tasnia ya teknolojia, ambayo kwa mujibu wa Rais mwenyewe, nchi haiwezi kuendelea bila kuwa na maendeleo ya teknolojia.

Rais Kikwete...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akabidhiwa Joho na Cheti cha Shahada ya Doctor of Laws

Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akimkabidhi Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rais joho na cheti iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na maprofesa waandamizi wa chuo hicho.Tayari Rais Kikwete alishatunukiwa shahada hiyo katika mahafali ya 41 ya UDSM yaliyofanyika Octoba mwaka 2011. Profesa Agnes Mwakaje wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimvika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia

n9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans Chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi...

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI IKULU NA RAIS MSTAAFU KIKWETE JANA

Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika jana Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Edgar Lungu wa Zambia Aandaa Dhifa Kwa Heshima ya Rais Jakaya Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. BILAL AMTUNUKU SHAHADA YA UZAMIVU, RAIS KIKWETE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu (PhD) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete, kwa kutambua mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na kufanikisha kuanzishwa kwa Taasisi hiyo. Dkt Jakaya alitunukiwa Shahada hiyo wakati wa Mahafali ya pili ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Jijini...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZIMBABWE ROBERTY MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .

  Mgeni Rasmi wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China, Rais wa Zimbabwe,Robert  Mugabe akihutubi usiku huu kweye kongamano hilo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza usiku huu kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha,ambapo Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China linafanyika na mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe. Rais wa...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein atuzwa shahada ya heshima

RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein juzi alikabidhiwa rasmi shahada ya heshima ya Chuo cha Wataalamu wa Patholojia cha nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (COPECSA).

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye atunukiwa shahada ya heshima Chicago

Kanye West ametunukiwa shahada ya heshima na taasisi ya Sanaa ya chuo kikuu cha Chicago.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani