Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein atuzwa shahada ya heshima

RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein juzi alikabidhiwa rasmi shahada ya heshima ya Chuo cha Wataalamu wa Patholojia cha nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (COPECSA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kanye atunukiwa shahada ya heshima Chicago

Kanye West ametunukiwa shahada ya heshima na taasisi ya Sanaa ya chuo kikuu cha Chicago.

 

10 years ago

GPL

KANYE WEST ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA

RAPPA Kanye West wa nchini Marekani jana ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima kutoka Taasisi ya Sanaa ya Chicago nchini Marekani. Kanye akitoa hotuba yake katika taasisi hiyo. Kanye West aliyeacha chuo akiwa na umri wa miaka 20 na kuamua kuingia kwenye muziki kisha kutoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la 'The College Dropout' kwa sasa atakuwa akiitwa Dk. West. Kanye hakuweza kuficha furaha yake kwa kuachia...

 

9 years ago

StarTV

Rais Kikwete akabidhiwa shahada ya kwanza ya heshima ya uwajibikaji

Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela kimemkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete shahada ya kwanza ya heshima aliyotunukiwa na chuo hicho disemba 18 mwaka jana, kutokana na juhudi yake ya kuchochea maendeleo ya sayansi na teknolojia nchini.

Shahada hiyo ni sehemu ya chuo hicho katika kuonyesha heshima na uthamini wa juhudi za rais Kikwete kwenye tasnia ya teknolojia, ambayo kwa mujibu wa Rais mwenyewe, nchi haiwezi kuendelea bila kuwa na maendeleo ya teknolojia.

Rais Kikwete...

 

5 years ago

Michuzi

MJUMBE WA YANGA APATA SHAHADA YA UZAMIVU (PHD) YA HESHIMA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Mjumbe wa Kudumu wa Klabu ya Yanga Thobias Lingalangala ametunukiwa shahada ya uzamivu (PHD) na shirika la lead Impact la nchini Marekani.

Lingalangala amepatiwa shahada hiyo baada ya kujitoa na kuwasaidia jamii katika masuala mbalimbali ikiwemo kujenga mradi mkubwa wa maji unaohudumia wakazi wa Njombe.

Akizungumza baada ya kutunukiwa Shahada hiyo, Lingalangala amesema kuwa hakujua kama anaweza akapata shahada kutokana na kazi mbalimbali za kijamii...

 

11 years ago

GPL

P. DIDDY ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA CHUO KIKUU CHA HOWARD

Ni furaha tupu siku P. Diddy alipotunukiwa shahada ya heshima katika Chuo Kikuu cha Howard jana jijini Washington DC. Diddy akiwa katika furaha kubwa mbele ya jumuia ya chuo hicho.   Diddy…

 

5 years ago

Michuzi

'LEADIMPACT UNIVERSITY' YAWATUNUKU SHAHADA YA HESHIMA WATANZANIA, YUMO DC MJEMA

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dk. Sophia Mjema (katikati) akionesha cheti cha shahada ya heshima ya udaktari alichotunukiwa na Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' (LeadImpact University) cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika kuihudumia jamii kwenye majukumu yake. Wa kwanza kushoto ni Mratibu wa Dawati la Jinsia na watoto Mkoa wa Kipolisi Ilala, Afande Dk. Christina Onyango ambaye pia katunukiwa udaktari wa heshima na chuo hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dk. Sophia Mjema akizungumza na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia

n9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans Chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi...

 

11 years ago

Michuzi

ASKOFU SIXBERT PAUL WA KANISA LA VICTORIOUS KUTUNUKIA SHAHADA LA UDAKTARI YA HUDUMA JUMAPILI HII; ROSE MUHANDO NAYE KUPATA CHETI CHA HESHIMA CHA UIMBAJI


Askofu Sixbert Paul wa kanisa la Victorious la mjini Moshi akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na hafla ya kutunukiwa shahada la udaktari ya huduma Askofu Sixbert Paul wa kanisa la Victorious la mjini Moshi akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na hafla ya kutunukiwa shahada la udaktari ya huduma

Na Mwandishi wetu, Moshi
CHUO kikuu cha Africa, African Graduate University, Chenye makao yake nchini, Sierra Leone kinatarajia kumtunuku shahada ya udaktari ya huduma,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani