Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJUMBE WA YANGA APATA SHAHADA YA UZAMIVU (PHD) YA HESHIMA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Mjumbe wa Kudumu wa Klabu ya Yanga Thobias Lingalangala ametunukiwa shahada ya uzamivu (PHD) na shirika la lead Impact la nchini Marekani.

Lingalangala amepatiwa shahada hiyo baada ya kujitoa na kuwasaidia jamii katika masuala mbalimbali ikiwemo kujenga mradi mkubwa wa maji unaohudumia wakazi wa Njombe.

Akizungumza baada ya kutunukiwa Shahada hiyo, Lingalangala amesema kuwa hakujua kama anaweza akapata shahada kutokana na kazi mbalimbali za kijamii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DKT. BILAL AMTUNUKU SHAHADA YA UZAMIVU, RAIS KIKWETE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu (PhD) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete, kwa kutambua mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na kufanikisha kuanzishwa kwa Taasisi hiyo. Dkt Jakaya alitunukiwa Shahada hiyo wakati wa Mahafali ya pili ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Jijini...

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOCHUKUA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU KATIKA RELI KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOUTHWEST JIATONG CHA NCHINI CHINA WATEMBELEA WIZARA YA UCHUKUZI LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Monica Mwamunyange akibadilishana kadi na Profesa Liu Xueyi kutoka Chuo kikuu cha Southwest Jiatong, wakati mkufunzi huyo na wanafunzi wa chuo hicho walipotembelea wizara ya Uchukuzi leo mchana kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya reli hasa reli ya mwendo kasi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi Monica Mwamunyange, akifafanua jambo kwa Wakufunzi na wanafunzi wanaochukua shahada za Uzamili na Uzamivu katika Reli kutoka Chuo...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein atuzwa shahada ya heshima

RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein juzi alikabidhiwa rasmi shahada ya heshima ya Chuo cha Wataalamu wa Patholojia cha nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (COPECSA).

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye atunukiwa shahada ya heshima Chicago

Kanye West ametunukiwa shahada ya heshima na taasisi ya Sanaa ya chuo kikuu cha Chicago.

 

10 years ago

GPL

KANYE WEST ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA

RAPPA Kanye West wa nchini Marekani jana ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima kutoka Taasisi ya Sanaa ya Chicago nchini Marekani. Kanye akitoa hotuba yake katika taasisi hiyo. Kanye West aliyeacha chuo akiwa na umri wa miaka 20 na kuamua kuingia kwenye muziki kisha kutoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la 'The College Dropout' kwa sasa atakuwa akiitwa Dk. West. Kanye hakuweza kuficha furaha yake kwa kuachia...

 

9 years ago

StarTV

Rais Kikwete akabidhiwa shahada ya kwanza ya heshima ya uwajibikaji

Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela kimemkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete shahada ya kwanza ya heshima aliyotunukiwa na chuo hicho disemba 18 mwaka jana, kutokana na juhudi yake ya kuchochea maendeleo ya sayansi na teknolojia nchini.

Shahada hiyo ni sehemu ya chuo hicho katika kuonyesha heshima na uthamini wa juhudi za rais Kikwete kwenye tasnia ya teknolojia, ambayo kwa mujibu wa Rais mwenyewe, nchi haiwezi kuendelea bila kuwa na maendeleo ya teknolojia.

Rais Kikwete...

 

5 years ago

Michuzi

'LEADIMPACT UNIVERSITY' YAWATUNUKU SHAHADA YA HESHIMA WATANZANIA, YUMO DC MJEMA

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dk. Sophia Mjema (katikati) akionesha cheti cha shahada ya heshima ya udaktari alichotunukiwa na Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' (LeadImpact University) cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika kuihudumia jamii kwenye majukumu yake. Wa kwanza kushoto ni Mratibu wa Dawati la Jinsia na watoto Mkoa wa Kipolisi Ilala, Afande Dk. Christina Onyango ambaye pia katunukiwa udaktari wa heshima na chuo hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dk. Sophia Mjema akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

P. DIDDY ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA CHUO KIKUU CHA HOWARD

Ni furaha tupu siku P. Diddy alipotunukiwa shahada ya heshima katika Chuo Kikuu cha Howard jana jijini Washington DC. Diddy akiwa katika furaha kubwa mbele ya jumuia ya chuo hicho.   Diddy…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani