Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yapata dhahabu ya kwanza

Mwanariadha wa Tanzania, Sabas Daniel ameibuka kinara kwenye fainali ya kurusha mkuki na kutwaa medali ya dhahabu kwenye mashindano ya Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (Feasssa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Castle Lager Perfect Six yapata wawakilishi wa kwanza fainali za taifa

Kanda ya Kati imekuwa ya kwanza kupata wawakilishi kwenye fainali za mashindano mapya ya soka ya Castle Lager Perfect Six baada ya timu ya Schalke 04 ya Dodoma kutwaa ubingwa wa kanda hiyo katika fainali za kanda hiyo zilizopigwa kwenye uwanja wa Fire manispaa ya Morogoro wikendi hii.
Ubingwa huo kwa timu ya Schalke 04 inatoa nafasi ya kuwa mwakilishi kutoka kanda ya Kati kugombea nafasi ya kwenda nchini Hispania kutembelea uwanja wa Camp Nou na kushuhudia michezo ya klabu ya Barcelona...

 

9 years ago

BBCSwahili

Biashara ya dhahabu kuboreshwa Tanzania

Mpango mpya ulioandaliwa na shirika la Fairtrade wa kuuza dhahabu nchini Uingereza kuanza kutekelezwa Tanzania

 

5 years ago

CCM Blog

PARACHICHI, DHAHABU YA KIJANI INAYOWANUFAISHA ZAIDI YA WAKULIMA 10,000 TANZANIA


Ni dhahiri kwamba kwa muda mrefu tumekuwa tukiangalia Parachichi kama zao la kawaida hasa katika nchi yetu ya Tanzania. Kwa sasa zao hili limekuwa kati ya mazao makuu ya biashara kutoka Tanzania.

Ni Kweli kwamba zao hili linalopatikana kwa wingi Njombe, Iringa, Mbeya na Kilimanjaro lenye asili ya muda mrefu kutoka Guatemala Mexico sasa limekuwa kati ya mazao makubwa ya biashara duniani. Zao hili kwa sasa linaipatia nchi ya Tanzania takribani Shilingi Bilioni 27.6 kwa Mwaka ikiwa ni kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA , YAFANIKIWA KUKAMILISHA UTAFITI WA KUTENGENEZA VIKOMBE VYA KUPIMIA DHAHABU(CRUSIBLE)

Na Samwel Mtuwa.
Wakala wa Jiolojia Tanzania , umefanikiwa kupunguza gharama za upimaji wa sampuli za dhahabu katika maabara yake kwa kufanikiwa kwa asilimia mia moja kuweza kutengeneza vikombe vya kupimia dhahabu (Crusible) ndani ya maabara yake ya Jiolojia mkoani Dodoma.
Kwa mujibu wa mtaalam wa Jioloji katika Maabara ya GST, Bw. Philipo Momburi alieleza kuwa hapo awali maabara ilikuwa inaagiza vikombe vya kupimia dhahabu maabara kutoka nje ya nchi , jambo ambalo lilikuwa likiingiza taasisi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania yapata maabara ya kipekee

Tanzania imepata maabara inayoweza kuhamishwa kutoka eneo moja hadi jingine ambayo itasaidia kukabiliana na maradhi ya mlipuko kama vile Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Baseball Tanzania yapata mhisani

Serikali ya Japan, kusaidia kukuza mchezo wa baseball nchini Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA/Vodacom Tanzania Announces New Managing Director

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Limited leo imemtangaza Mkurugenzi wake mpya Bw. Ian Ferrao anayechukua nafasi ya Mkurugenzi anayeondoka Rene Meza ambaye hivi karibinu aliteuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Ooredoo Myanmar kuanzia mapema mwezi ujao. Bw. Ferrao kwa sasa hivi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Lesotho.Ana uzoefu mkubwa wa uongozi katika sekta ya mawasiliano katika nchi mbalimbali za Ulaya na Afrika.Kabla ya kjiunga na Vodacom Lesotho alikuwa Afisa...

 

5 years ago

Michuzi

MCHEZO WA KARATE,TANZANIA YAPATA MWALIKO










…………………………………………………………………..

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imepata Nafasi ya kwenda kushiriki katika mashindano ya Dunia ya Karate Japani mwezi October Mwaka huu.

Mashindano hayo ya Karate ya Dunia huwa yanafanyika kila baada ya Miaka 3,na kwa mwaka huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama.

Jerome Muhagama ambaye Pia ni Mkufunzi mkuu wa Karate Tanzania amezungumzia Juu ya nafasi hiyo iliyopata nchi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani