Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete apokea meli mbili za kivita kutoka China

 Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amepokea meli mbili za kivita kutoka China kwa ajili ya Jeshi la Wanamaji (Navy), huku akiahidi kuongeza nyingine kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda apokea msaada wa pikipiki 44 kutoka China

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepokea pikipiki 44 zikiwa ni msaada kutoka Ubalozi wa China na Kampuni ya Fu-Tang ya kutoka China.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yatuma meli ya kivita Indonesia

Wanamaji kutoka Marekani wamesema kuwa wanapeleka moja ya Manowari ya kivita kutafuta ndege ya AirAsia iliyopotea.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 44 KUTOKA CHINA

Waziri mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea pikipiki 44 zikiwa ni msaada kutoka Ubalozi wa China na Kampuni ya Fu-Tang ya kutoka China. Amekabidhiwa msaada huo leo mchana (Jumanne, Desemba 24, 2013) mbele ya viongozi wa wilaya ya Mlele katika hafla fupi iliyofanyika kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi na kushuhudiwa na wakazi wa kijiji hicho. Akizungumza na viongozi wa wilaya hiyo pamoja na wakazi...

 

10 years ago

Habarileo

Meli nne za kivita za India zazuru Tanzania

MELI nne za kivita za India, zimezuru Tanzania kwa lengo la kuendeleza urafiki na ushirikiano kati ya Jeshi la Wanamaji la Tanzania na India ili kuimarisha ulinzi na usalama katika ukanda wa bahari ya Hindi.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mukangara apokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Serikali ya China

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabibidhiwa msaada wa vifaa vya michezo kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Balozi wa China hapo nchini Lu Youqing na Mwakilishi Mkuu wa Wafanyabiashara kutoka China waishio nchini Lin Zhiyong. Jumla ya vifaa kumi na nne vimetolewa ambavyo ni Roboti ya kujifunzia mpira wa Meza, Kifaa cha...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi… ...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea Salamu za Muungano kutoka Angola

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka kwa Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santos uliowasilishwa kwake na Waziri wa Serikali za mitaa(local Governments) Mhe.Bornito De Sousa ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha sherehe hizo(tarehe 26Apili 2014). (picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Serikali za mitaa (local Governments) wa Angola baada ya kupokea salamu za maadhimisho...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Balozi Mangibin akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani