Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete asaidie uwekezaji kwenye mchezo wa riadha

KATIKA miaka ya 1980, aliyekuwa Rais wa Kenya, Daniel Arap Moi, aliyepokea kijiti kutoka kwa Mwasisi wa Taifa hilo, Jomo Kenyatta, aliutazama mchezo wa riadha na kubaini, ulihitaji mageuzi makubwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mchezo wa Riadha watiwa dosari Kenya

Ripoti zinadai Kenya ni miongoni mwa nchi ambazo wanaraidha wake hutumia dawa za kusisimua misuli katika michezo ya Olimpiki

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN ATOA VIFAA VYA MCHEZO WA RIADHA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwapa mawaidha yake mafupi viongozi wa mchezo wa Riadha walipofika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwakabidhi vifaa alivyoviandaa kwa Mchezo huo katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba katika mpango wake wa kuimarisha na kuupa nguvu mchezo huo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya Riadha Katibu wa mchezo huo Wilaya ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

John Stephen Akhwari : Nguli mchezo wa riadha aliyeweka historia ya kimataifa

JOHN Stephen Akhwari ni miongoni mwa wanariadha wenye historia kubwa hapa nchini kutokana na umahiri wake katika mchezo huo.

Akhwari anakumbukwa sana katika Michezo ya Olimpiki kutokana na kauli yake ya kizalendo aliyoitoa wakati aliposhiriki mbio za marathoni katika Michezo ya Olimpiki iliyofanyika huko Mexico mwaka 1968.

While+competing+in+the+marathon+in+mexico+city+akhwari+fell+_e59c8e38475b9f8163e0152ea6e7b3a8

101_0424

JOHN Stephen Akhwari akiwa na baadhi ya medalii zake alizozipata katika mashindono ya riadha.

Kwanini ANAKUMBUKWA?:

Wengi wamajiuliza mkongwe huyo wa riadha kwanini...

 

10 years ago

Michuzi

JOHN STEPHEN AKHWARI :NGULI MCHEZO WA RIADHA ALIYEWEKA HISTORI YA KIMATAIFA

JOHN Stephen Akhwari ni miongoni mwa wanariadha wenye historia kubwa
hapa nchini kutokana na umahiri wake katika mchezo huo.
Akhwari anakumbukwa sana katika Michezo ya Olimpiki kutokana na kauliyake ya kizalendo aliyoitoa wakati aliposhiriki mbio za marathonikatika Michezo ya Olimpiki iliyofanyika huko Mexico mwaka 1968

JOHN Stephen Akhwari akiwa na baadhi ya medalii zake alizozipata katika mashindono ya riadha


BOFYA HAPA KUSOMA ZAID MAKALA YAKE

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda amwakilisha Rais Kikwete kwenye mjadala wa uwekezaji Afrika- London

PG4A6255

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 20/10/14.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A6276

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage  Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji ...

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015

Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano  ya  mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania  Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland

ta6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.(PICHA NA IKULU).

ta1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: CCM siyo chama cha mchezo

MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema chama hicho sio chama cha mchezo na kuvionya vyama vya upinzani kuwa watakiona cha mtema kuni katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani