Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete azindua programu uimarishaji mipaka

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa kwa lengo la kuhuisha alama zilizopo na kuweka mpya katika maeneo ya mipaka ya Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete anatarajia kuwa mgeni rasmi katika  uzinduzi wa programu ya  uimarishaji wa mipaka ya kimataifa kwa lengo la kuhuisha alama zilizopo na kuweka mpya katika maeneo ya  mipaka ya Tanzania ambayo awali yalikuwa yametengwa na mito na baadaye mito hiyo kukauka .
  Programu hiyo inayofanywa na wataalam wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazinduliwa rasmi Agosti 28, katika eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE KUZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA.


 Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Ngara Bw. Hussein Seif akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa maandalizi ya shughuli ya uzinduzi wa Programu ya uimarishaji wa mipaka ya Kimataifa wa wilaya ya Ngara itakayozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete eneo la Mugikomero mpakani mwa Tanzania na Burundi. Wanaoonekana nyuma ni raia wa Burundi waishio mpakani. Raia wa Burundi wakiwa nyuma ya alama ya mpaka  inayotenganisha Tanzania na Burundi. Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE KUZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA‏

Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Ngara Bw. Hussein Seif akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa maandalizi ya shughuli ya uzinduzi wa Programu ya uimarishaji wa mipaka ya Kimataifa wa wilaya ya Ngara itakayozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete eneo la Mugikomero mpakani mwa Tanzania na Burundi. Wanaoonekana nyuma ni raia wa Burundi waishio mpakani. Raia wa Burundi wakiwa nyuma ya… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakipokea nyimbo za Taifa za nchi zao eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Tanzania na Burundi katika eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA UIMARISHAJI NA UHAKIKI WA MIPAKA KATI YA TANZANIA NA KENYA

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inafanya mkutano wa siku tano kati ya Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kenya ili kuimarisha na kuhakiki mipaka kati ya nchi hizo. Kikao hicho cha wajumbe maalumu kutoka nchi hizo mbili kinafanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 14 hadi 18 septemba 2015.  Mkurugenzi Idara ya upimaji na Ramani Bw. Justo Lyamuya, Mkurugenzi wa Nyumba Bw. Charles Mafuru kutoka Wizara ya Ardhi,...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATOA TAARIFA YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA NCHINI

Mkurugenzi Msaidizi Topografia na Jiodesia (katikati)Dk. James Mtamakaya akitoa taarifa mbele ya wanahabari (hawapo pichani), Mkurugenzi Msaidizi Upimaji Vijijini, Huruma Lugala (kulia) pamoja na Mpima Ardhi wa Wizara, Geofrey Kameta. …Mkurugenzi Msaidizi wa Upimaiji Mipaka, Huruma Lugala akionesha mchoro wa ramani ya Tanzania na mipaka ya nchi kwa wanahabari (hawapo… ...

 

10 years ago

GPL

MBOWE AZINDUA PROGRAMU YA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA CHADEMA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwasili katika Ukumbi wa PTA, Temeke jijini Dar kuzindua programu ya mafunzo kwa viongozi wa Chadema. Washiriki wa mafunzo ya timu za kampeni za uchaguzi mkuu kwa viongozi wa chama na serikali za mitaa wanaotokana na Chadema wakiwa tayari kuanza programu hiyo. Viongozi wa Chadema…

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI DARAJA LA KIKWETE JUU YA MTO MALAGARASI MKOANI KIGOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea Kusini Mhe. Chung II, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Korea Kusini uliojenga Daraja la Kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA JOPO LA KUTATHMINI PROGRAMU YA TEKELEZA KWA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Januari 16, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea Iliyofanya Tathmini ya Utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es SalaamRais Kikwete amewashukuru wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea iliyofanya tathmini ya utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani