Kikwete: CCM itashinda
Rais Jakaya Kikwete amemweleza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM), kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Nov
CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Wapinzani wakimdharau Kinana, CCM itashinda kirahisi 2015
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amekamilisha awamu nyingine ya ziara zake mikoani. Katika awamu hii, alitumia siku 28 kutembelea mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa.
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono†wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SD3bldeVLqI/UzuxCdjiAMI/AAAAAAAFXx4/-NKuR-TN9_o/s72-c/MMG25603.jpg)
Nape asema CCM itashinda kwa kishindo jimbo la Chalinze
![](http://2.bp.blogspot.com/-SD3bldeVLqI/UzuxCdjiAMI/AAAAAAAFXx4/-NKuR-TN9_o/s1600/MMG25603.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-eCIncuO9dYI/UzuxZFj_6II/AAAAAAAFXyA/sDeLsKs_DuE/s1600/MMG25611.jpg)
9 years ago
MichuziMWIGULU AWAHAKIKISHIA WANABUKOMBE KUWA CCM ITASHINDA KWA KISHINDO 2015
Picha na...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/04/11.jpg)
NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze. Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze. Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na… ...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pXbiFlQjnVI/VicDB_mPSEI/AAAAAAAIBaw/8wNV19HGtuo/s72-c/download.jpg)
Sababu Tisa kwanini CCM itashinda katika Uchaguzi Mkuu Jumapili hii, Oktoba 25
Na January Makamba
Tarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Mengi yamendikwa kuhusu uchaguzi huu, hususan kutokana na hisia kwamba safari hii Upinzani una nafasi ya kukiondoa madarakani moja ya vyama vikubwa na vyenye muundo bora barani Afrika, chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Matukio mbalimbali kuelekea...
![](http://1.bp.blogspot.com/-pXbiFlQjnVI/VicDB_mPSEI/AAAAAAAIBaw/8wNV19HGtuo/s1600/download.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Matic asema Chelsea itashinda mataji 4
Matic ambaye alijiunga tena na Chelsea kutoka Benfica kwa kitita cha pauni 21 mwezi Janauari amesema kuwa anaamini inawezekana.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania