Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete futa hati za viwanda — Wakazi

WAKAZI wa Kivule na Kipunguni, Ilala jijini Dar es Salaam wamemuomba Rais Jakaya Kikwete afute hati za viwanda katika maeneo hayo, baada ya kuwapa ahadi ya kubadilisha eneo hilo kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi Chato wamuomba Dk. Magufuli kuimarisha viwanda

Wakazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita wamemuomba Rais mteule wa Tanzania   Dokta John Pombe Magufuli kuhakikisha analitilia mkazo suala la viwanda ambalo ni mhimili wa maendeleo ambao unakuza uchumi wa wananchi na nchi kwa ujumla.

Wameongeza kuwa zipo nguzo nyingine za maendeleo lakini hakuna hata moja inayoweza kushinda nguvu ya viwanda katika kiuchumi kwa kuongezea bidhaa thamani.

Wakizungumza wakati wa kusheherekea ushindi wa rais mteule Dk John Pombe Magufuli wamesema watanzania wengi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete amfutia hati mwekezaji Manyara

Rais Jakaya Kikwete amefuta hati ya shamba la Kampuni ya Galapo Ufyomi Estate lenye ukubwa wa Heka 1,220 lililoko Kata ya Galapo, wilayani Babati mkoani Manyara na kuagiza ligawanywe kwa wananchi.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI

H Balozi mteule wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Felix Costales akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.NBalozi mteule wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe. Paul Cartier akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.
P
Balozi mteule wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricio Clemente akikabidhi hati ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete amkabidhi Aga Khan Hati ya Idhini

RAIS Jakaya Kikwete amekabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kwa Mkuu wa Taasisi ya Aga Khan Duniani, Aga Khan huku akisema ana imani chuo hicho kitasaidia kupunguza pengo la rasilimali watu katika nyanja za sayansi, hesabu na utabibu.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA DENMARK NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho ya Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati alipokwenda kujitambulisha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kushoto) wakati alipokwenda kujitambulisha na kukabidhi hati ya utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Balozi...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Balozi Mangibin akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea hati ya utambulisho wa Balozi wa Argentina nchini

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Argentina nchini Tanzania Mhe. Bibianna Lucila Johnes ikulu jijini Dar es Salaam na kisha kufanya mazungumzo mafupi na balozi huyo.(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho za Balozi wa New Zealand hapa nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Richard Stuart Mann, Balozi wa New Zealand hapa nchini mwenye makazi yake Afrika Kusini. Hafla hiyo fupi ilifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2014.Balozi Mann akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais Kikwete, wakwanza kushoto ni...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Misri hapa nchini, Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Mhe. Rais Kikwete akimkaribisha Balozi Elshawaf. Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Elshawaf, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. 
Balozi Elshawaf akisalimiana na Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani