Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Chato wamuomba Dk. Magufuli kuimarisha viwanda

Wakazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita wamemuomba Rais mteule wa Tanzania   Dokta John Pombe Magufuli kuhakikisha analitilia mkazo suala la viwanda ambalo ni mhimili wa maendeleo ambao unakuza uchumi wa wananchi na nchi kwa ujumla.

Wameongeza kuwa zipo nguzo nyingine za maendeleo lakini hakuna hata moja inayoweza kushinda nguvu ya viwanda katika kiuchumi kwa kuongezea bidhaa thamani.

Wakizungumza wakati wa kusheherekea ushindi wa rais mteule Dk John Pombe Magufuli wamesema watanzania wengi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Dewji Blog

Magufuli azoa wanachama wapya alipokuwa akiwashukuru na kuwaaga wakazi wa Muganza wilayani Chato leo


Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayani Chato Mkoani Geita, Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA ALIPOKUWA AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO LEO

   Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi na wananchi wa Mbweni JKT wilayani Kinondoni wamuomba DC Makonda apige jicho mradi wa daraja uliokwama


Licha ya mtaa wa Mbweni JKT, jijini Dar es Salaam kujengwa majumba ya kifahari na kupatikana pia nyumba za viongozi mbalimbali wa serikali, miundo mbinu yake, hususan daraja linalojengwa katika eneo hilo ili kuwafanya wananchi wapite kwa urahisi kusua sua. Kwa miaka kadhaa sasa ujenzi wa daraja hilo umesimama.


Pichani ni gari la mwananchi na mkazi wa eneo hilo akipta kwenye maji ambayo mara kadhaa hujikuta wamesimama kwa saa kadhaa, hususan kama eneo hilo litajaa baada ya eneo hilo kujaa...

 

9 years ago

StarTV

TALGWU wamuomba Rais Magufuli kusaidia malipo yao ya bilioni 18.

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU kimemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati madai yao ili waweze kulipa malimbikizo yao ya zaidi ya Shilingi Bilioni 18 za wafanyakazi wa serikali za mitaa kabla ya kumalizika kwa Desemba mwaka huu.

Fedha hizo ambazo ni madai ya Agosti 2011 hadi Aprili mwaka 2012 zinadaiwa kuwa ni malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi ya likizo, masomo, uhamisho wa wafanyakazi pamoja na matibabu na kwamba zisipolipwa TALGWU inakusudia kuingia kwenye...

 

9 years ago

Dewji Blog

TEWUTA wampongeza Rais Dk. Magufuli, wamuomba kugeukia mashirika ya mawasiliano ya Serikalini

tewuta

Katibu mkuu wa TEWUTA, Junus Ndaro (katikati) alkizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TEWUTA, Pius Makuke, kushoto ni afisa kutoka chama hicho. (Picha na Rabi Hume)

Na Rabi Hume

[DAR ES SALAAM] Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA), kimemtaka rais wa Tanzania, Dr. John Magufuli kuyasaidia mashirika ya mawasiliano yaliyo chini ya seikali kutokana na mashirika hayo kuwa na hali...

 

5 years ago

Michuzi

KANISA LA EAGT LAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUONGOZA MAPAMBANO YA CORONA, WAMUOMBA ASIYUMBISHWE NA WANAOMBEZA


Charles James, Michuzi TV

UONGOZI bora, uadilifu, utendaji kazi uliotukuka, hofu ya Mungu na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona ndivyo vitu ambavyo Baraza la Maaskofu la Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) vimewavutia na kutoa pongezi maalum kwa Rais Dk John Magufuli.

Pongezi hizo za Kanisa la EAGT nchini zimetolewa leo jijini Dodoma na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Brown Mwakipesile Katika mkutano mkuu wa Baraza hilo lililojumuisha Maaskofu wa Majimbo 83 na wale wa Kanda...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kikwete futa hati za viwanda — Wakazi

WAKAZI wa Kivule na Kipunguni, Ilala jijini Dar es Salaam wamemuomba Rais Jakaya Kikwete afute hati za viwanda katika maeneo hayo, baada ya kuwapa ahadi ya kubadilisha eneo hilo kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani