TEWUTA wampongeza Rais Dk. Magufuli, wamuomba kugeukia mashirika ya mawasiliano ya Serikalini
Katibu mkuu wa TEWUTA, Junus Ndaro (katikati) alkizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TEWUTA, Pius Makuke, kushoto ni afisa kutoka chama hicho. (Picha na Rabi Hume)
Na Rabi Hume
[DAR ES SALAAM] Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA), kimemtaka rais wa Tanzania, Dr. John Magufuli kuyasaidia mashirika ya mawasiliano yaliyo chini ya seikali kutokana na mashirika hayo kuwa na hali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
TALGWU wamuomba Rais Magufuli kusaidia malipo yao ya bilioni 18.
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU kimemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati madai yao ili waweze kulipa malimbikizo yao ya zaidi ya Shilingi Bilioni 18 za wafanyakazi wa serikali za mitaa kabla ya kumalizika kwa Desemba mwaka huu.
Fedha hizo ambazo ni madai ya Agosti 2011 hadi Aprili mwaka 2012 zinadaiwa kuwa ni malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi ya likizo, masomo, uhamisho wa wafanyakazi pamoja na matibabu na kwamba zisipolipwa TALGWU inakusudia kuingia kwenye...
9 years ago
Dewji Blog04 Nov
9 years ago
Habarileo07 Jan
Maimamu Z’bar wampongeza Rais Magufuli
JUMUIYA ya Maimamu Zanzibar (Jumaza) kwa kushirikiana na taasisi za Kiislamu wamepongeza juhudi zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kuleta suluhu ya kudumu ya Zanzibar katika mazungumzo yanayowashirikisha viongozi wakuu wa vyama vya siasa na marais wastaafu.
5 years ago
MichuziKANISA LA EAGT LAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUONGOZA MAPAMBANO YA CORONA, WAMUOMBA ASIYUMBISHWE NA WANAOMBEZA
Charles James, Michuzi TV
UONGOZI bora, uadilifu, utendaji kazi uliotukuka, hofu ya Mungu na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona ndivyo vitu ambavyo Baraza la Maaskofu la Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) vimewavutia na kutoa pongezi maalum kwa Rais Dk John Magufuli.
Pongezi hizo za Kanisa la EAGT nchini zimetolewa leo jijini Dodoma na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Brown Mwakipesile Katika mkutano mkuu wa Baraza hilo lililojumuisha Maaskofu wa Majimbo 83 na wale wa Kanda...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Mashirika yatakiwa kutochelewesha fedha serikalini
SERIKALI imezitaka taasisi, mashirika ya umma na asasi za kiserikali kutochelewesha kutoa mapato yanayotakiwa ili kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika kongamano la kuwaelimisha viongozi...
9 years ago
MichuziIGWUTA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KAZI ZAKE
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Katibu Mkuu wa chama chama cha IGWUTA, Michael Kashamba amesema kuwa,Wamefurahishwa kwa kumpata Rais Magufuli na wanatoa wito kwa Wafanyakazi wote hapa nchini kujitokeza na kumuunga...
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU SERIKALINI
9 years ago
StarTV01 Dec
UWT Dar  wampongeza Utendaji Wa Rais Magufuli kwa mwanzo mzuri
Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi, U.W.T Mkoa wa Dar es salaam wamempongeza Rais Magufuli kwa uwajibikaji wake na utendaji kazi kwa kupiga vita mafisadi na wakwepa kodi.
Rais Magufuli amefananishwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa ufuatiliaji na kasi yake aliyoianza ya kuwa karibu na wananchi katika kuhakikisha anakomesha kero zao na kuwawajibisha viongozi wazembe.
Janeth Masaburi ni Mwenyekiti wa U.W.T. mkoa wa Dar es salaam amewataka watanzania bila...
5 years ago
MichuziWANANCHI KIJIJI CHA IGAWA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAM
WANANCHI wa Kijiji cha Igawa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuboresha miundombinu ya barabara hatua inayolenga kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Idara ya Habari (MAELEZO) hivi karibuni Kijijini hapo, wananchi hao walisema udhubutu uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kutekeleza miradi mikubwa ya...