Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashirika yatakiwa kutochelewesha fedha serikalini

SERIKALI imezitaka taasisi, mashirika ya umma na asasi za kiserikali kutochelewesha kutoa mapato yanayotakiwa ili kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika kongamano la kuwaelimisha viongozi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

TEWUTA wampongeza Rais Dk. Magufuli, wamuomba kugeukia mashirika ya mawasiliano ya Serikalini

tewuta

Katibu mkuu wa TEWUTA, Junus Ndaro (katikati) alkizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TEWUTA, Pius Makuke, kushoto ni afisa kutoka chama hicho. (Picha na Rabi Hume)

Na Rabi Hume

[DAR ES SALAAM] Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA), kimemtaka rais wa Tanzania, Dr. John Magufuli kuyasaidia mashirika ya mawasiliano yaliyo chini ya seikali kutokana na mashirika hayo kuwa na hali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu

WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mashirika ya umma balaa

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameibua madudu yanayofanywa na Bodi za Mashirika na Taasisi za Serikali na kudai kwamba wakurugenzi wake wamekuwa wakifuja mamilioni ya fedha za umma kwa kufanya mikutano nje ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kusajili mashirika ya kijamii

Mashirika au vyama vya kijamii yanasimamiwa na Sheria ya Vyama vya Kijamii (The Societies Act). Usajili wa mashirika haya hufanyika katika Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia ofisi ya Msajili wa Vyama.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kikwete ayaonya mashirika binafsi


NA FURAHA OMARY
RAIS Jakaya Kikwete ameyaonya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOS), kuacha tabia ya kueleza habari mbaya ili yaweze kupatiwa fedha.
Alisema hayo jana mjini Dar es Salaam, alipokuwa akizindua Chapisho la Tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na Kiuchumi, linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na matumizi ya tovuti, ambayo itakuwa imebeba taarifa mbalimbali za sensa hiyo.
ìNatoa wito kwa wananchi na wadau kusoma na kuzitumia vizuri takwimu hizi, kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yaonya mashirika ya ndege

Marekani imeonya mashirika ya ndege yanayoelekea Russia kuwa kunauwezekano wa magaidi kusafirisha vilupuzi kwa niya ya kuishambulia Sochi

 

9 years ago

Mwananchi

Mashirika na wageni wanavyokuza Kiswahili

Nchi za Skandinavia ni Sweden, Denmark, Norway na Finland. Nchi hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu.Tumeshuhudia miradi  mbalimbali ikidhaminiwa na nchi hizi mathalan mradi wa maji uliodhaminiwa na Denmark  kupitia wakala wake wa DANIDA. Mawakala wengine wa nchi hizi ni SIDA kutoka Sweden na NORAD kutoka Norway.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani