Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete ayaonya mashirika binafsi


NA FURAHA OMARY
RAIS Jakaya Kikwete ameyaonya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOS), kuacha tabia ya kueleza habari mbaya ili yaweze kupatiwa fedha.
Alisema hayo jana mjini Dar es Salaam, alipokuwa akizindua Chapisho la Tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na Kiuchumi, linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na matumizi ya tovuti, ambayo itakuwa imebeba taarifa mbalimbali za sensa hiyo.
ìNatoa wito kwa wananchi na wadau kusoma na kuzitumia vizuri takwimu hizi, kwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Utapeli wa mashirika binafsi wachangia kuwepo kwa Vikwazo Vya Maendeleo Afrika

Vitendo vya kitapeli vinavyofanywa na baadhi ya wamiliki wa mashirika yasiyo ya Kiserikali vimetajwa kuendelea kuikwamisha Afrika katika kupiga hatua za kimaendeleo.

Mkurugenzi wa kituo cha maendeleo na ushirikiano baina ya nchi za Tanzania na Denmark cha MS-TCDC kilichopo jijini Arusha Dokta Suma Kaare amesema utafiti umebaini asilimia kubwa ya misaada inayotolewa kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali haiwafikii walengwa ambao ni wanajamii.

Dakta Suma ameongeza kwamba hali hiyo inarudisha...

 

10 years ago

Michuzi

VYAMA VYA SIASA ,MASHIRIKA BINAFSI KATIKA MDAHALO JUU YA UCHAGUZI MKUU

Ofisa Mkuu kutoka taasisi ya Uandishi wa Habari na Utangazaji EABMT Rosemary Mwakitwange akifafanua jambo katika Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala,mdahalo huo ulishirikisha wanasiasa kutoka vyama vya siasa CHADEMA,CCM,CUF,NCCR na vingine pamoja na taasisi binafsi na viongozi wa kiserikali,mdahalo huo umeandaliwa na shirika la TWAWEZA umefanyika jana jijini Arusha. Washiriki wa Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete aihakikishia sekta binafsi uwezeshaji zaidi

RAIS Jakaya Kikwete ameihakikishia sekta binafsi kuwa serikali ijayo itaendelea kuwawezesha watanzania kushiriki zaidi katika uchumi kwa kuendelea kuboresha mazingira ya kufanya biashara na kuvutia zaidi wawekezaji.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Mashirika ya umma balaa

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameibua madudu yanayofanywa na Bodi za Mashirika na Taasisi za Serikali na kudai kwamba wakurugenzi wake wamekuwa wakifuja mamilioni ya fedha za umma kwa kufanya mikutano nje ya nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

SMZ yavunja mashirika mawili

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema rasmi kwamba itayavunja mashirika mawili ambayo yameshindwa kujiendesha kibiashara, kufuatia mabadiliko ya biashara huria kuchukua nafasi yake nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hawala:Mashirika ya misaada yaonya

Mashirika ya kutoa misaada ya kibinadam, yameonya kuwa huenda yakalazimika kusitisha shughuli zao zote nchini Somalia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yaonya mashirika ya ndege

Marekani imeonya mashirika ya ndege yanayoelekea Russia kuwa kunauwezekano wa magaidi kusafirisha vilupuzi kwa niya ya kuishambulia Sochi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani