Hawala:Mashirika ya misaada yaonya
Mashirika ya kutoa misaada ya kibinadam, yameonya kuwa huenda yakalazimika kusitisha shughuli zao zote nchini Somalia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Marekani yaonya mashirika ya ndege
Marekani imeonya mashirika ya ndege yanayoelekea Russia kuwa kunauwezekano wa magaidi kusafirisha vilupuzi kwa niya ya kuishambulia Sochi
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mashirika ya misaada ilitozwa pesa na Al Shabaab
Mashirika ya kutoa misaada, yaliwalipa wanamgambo wa Al Shabaab ili yaweze kuruhusiwa kutoa misaada wakati wa janga la njaa mwaka 2011.
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
UN yaonya kukosekana misaada Ukraine
Umoja wa mataifa umeonya juu ya hali mbaya ya kukosekana misaada ya kibinadamu huko mashariki ya Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Wamiliki wa Hawala wahojiwa Kenya
Wenye Hawala wahojiwa katika Idara ya ujasusi kujieleza na kujitetea kuhusu tuhuma zinazowakumba za kufanikisha ugaidi
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Kampuni 13 za hawala zafungwa Kenya
Kenya imeamuru kufungwa kwa kampuni 13 za kusafirisha na kupokea fedha ili kuzuia ufadhili wa makundi ya kigaidi.
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Serikali yaondoa marufuku dhidi ya Hawala
Serikali ya Kenya imeondoa marufuku dhidi ya kampuni za kupokea na kuhamisha fedha maarufu Hawala zinazotumiwa na raia wengi wa Somalia.
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Kenya yaondoa marufuku dhidi ya Hawala
Kenya imeondoa marufuku dhidi ya kampuni za kupokea na kuhamisha fedha maarufu Hawala zinazotumiwa na raia wengi wa Somalia.
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Wasomali walalama kufungwa kwa Hawala Kenya
Wasomali nchini Kenya wamelalamikia vikali hatua ya serikali nchini humo kufunga mashirika 13 ya ubadilishaji wa sarafu za kigeni
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Mashirika ya umma balaa
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameibua madudu yanayofanywa na Bodi za Mashirika na Taasisi za Serikali na kudai kwamba wakurugenzi wake wamekuwa wakifuja mamilioni ya fedha za umma kwa kufanya mikutano nje ya nchi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania