Kenya yaondoa marufuku dhidi ya Hawala
Kenya imeondoa marufuku dhidi ya kampuni za kupokea na kuhamisha fedha maarufu Hawala zinazotumiwa na raia wengi wa Somalia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Serikali yaondoa marufuku dhidi ya Hawala
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
FIFA yaondoa marufuku dhidi ya Nigeria
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
CAF yaondoa marufuku ya Gambia
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
CAF yaondoa marufuku ya umri
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Wamiliki wa Hawala wahojiwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Kampuni 13 za hawala zafungwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
UK yaondoa tahadhari dhidi ya raiya wake
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Wasomali walalama kufungwa kwa Hawala Kenya
10 years ago
StarTV30 Sep
Uingereza yaondoa tahadhari kuhusu Kenya.
Uingereza imeondoa tahadhari iliyokuwea imetoa kwa raia wake dhidi ya Kusafiri Kenya.
Tahadhari hiyo kwa ukubwa likuwa inalenga maeneo ya mitaa ya mabanda, na baadhi ya maeneo ya Pwani ambako ilihofiwa kuwa raia wa kigeni wanalengwa kwa mashambulio ya kigaidi.
Hatua hiyo ya kuondolewa tahadhari kwa raia wa Uingereza kusafiri Kenya, inaanza kutekelezwa mara moja.
Tahadhari hiyo ilikuwa imewekwa baada ya machafuko yaliyotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu yapata miaka saba...