Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maimamu Z’bar wampongeza Rais Magufuli

JUMUIYA ya Maimamu Zanzibar (Jumaza) kwa kushirikiana na taasisi za Kiislamu wamepongeza juhudi zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kuleta suluhu ya kudumu ya Zanzibar katika mazungumzo yanayowashirikisha viongozi wakuu wa vyama vya siasa na marais wastaafu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

IGWUTA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KAZI ZAKE

Na Zainabu Hamis wa Globu ya Jami.CHAMA cha wafanyakazi wa viwanda na sekta mbalimbali(IGWUTA) champongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli (Pichani)kwa namna na jinsi anavyofanya kazi yake hasa ile ya kupambana na mafisadi na wanafiki.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Katibu Mkuu wa chama chama cha IGWUTA, Michael Kashamba amesema kuwa,Wamefurahishwa kwa  kumpata Rais Magufuli na wanatoa wito kwa Wafanyakazi wote hapa nchini kujitokeza na kumuunga...

 

9 years ago

Dewji Blog

TEWUTA wampongeza Rais Dk. Magufuli, wamuomba kugeukia mashirika ya mawasiliano ya Serikalini

tewuta

Katibu mkuu wa TEWUTA, Junus Ndaro (katikati) alkizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TEWUTA, Pius Makuke, kushoto ni afisa kutoka chama hicho. (Picha na Rabi Hume)

Na Rabi Hume

[DAR ES SALAAM] Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA), kimemtaka rais wa Tanzania, Dr. John Magufuli kuyasaidia mashirika ya mawasiliano yaliyo chini ya seikali kutokana na mashirika hayo kuwa na hali...

 

9 years ago

StarTV

UWT Dar  wampongeza Utendaji Wa Rais Magufuli kwa mwanzo mzuri

 

Umoja wa Wanawake  wa Chama cha Mapinduzi, U.W.T Mkoa wa Dar es salaam wamempongeza Rais Magufuli kwa uwajibikaji wake na utendaji kazi kwa kupiga vita mafisadi na wakwepa kodi.

Rais Magufuli amefananishwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa ufuatiliaji na kasi yake aliyoianza ya kuwa karibu na wananchi katika kuhakikisha anakomesha kero zao na kuwawajibisha viongozi wazembe.

Janeth Masaburi ni Mwenyekiti wa U.W.T. mkoa wa Dar es salaam amewataka watanzania bila...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KIJIJI CHA IGAWA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA


Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAM
 WANANCHI wa Kijiji cha Igawa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuboresha miundombinu ya barabara hatua inayolenga kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Idara ya Habari (MAELEZO) hivi karibuni Kijijini hapo, wananchi hao walisema udhubutu uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kutekeleza miradi mikubwa ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WILAYA YA IKUNGI WAMPONGEZA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI KWA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akizungumza kuhusu malipo ya wakulima wa Kata ya Iglanson kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani. Afisa Ushirika wa Wilaya ya Ikungi, Gurisha Nsemo akizungumza na Wakulima wa Kata ya Iglanson wakati wa malipo hayo. Mkulima, Isack Shango,  akimshukuru Rais Magufuli kwa niaba ya wenzake.  Mkulima, Magreth Magamba, akizungumza. 

 Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa. 

  Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa. 

 Meneja wa Benki ya NMB,...

 

9 years ago

Mwananchi

Shein amweleza Rais Magufuli hatima ya Z’bar

Rais John Magufuli amefanya mazungumzo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk Ali Mohamed Shein yaliyolenga kupatiwa mwenendo wa utatuzi wa mkwamo wa kisiasa ulitokea baada ya Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

Wachimbaji wadogo wampongeza Magufuli

WACHIMBAJI wadogo wa madini ya tanzanite mkoani hapa na Manyara wamempongeza Dk John Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumwomba afute vibali vyote vya wafanyabiashara kutoka India wanaoingia nchini kununua madini hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani