Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete: NHC wapewe viwanja bure

RAIS Jakaya Kikwete ameziagiza halmashauri zote nchini kutenga maeneo ya ardhi kwa ajili ya kulipatia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) bila gharama ili liweze kutekeleza mradi wake wa ujenzi wa nyumba bora za bei nafuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHIWATA KUTOA VIWANJA BURE OFA YA MWENGE MKURANGA

Na Mwandishi Wetu
WILAYA ya Mkuranga imepanga kupeleka Mwenge wa uhuru katika kijiji cha wasanii kilichopo MWANZEGA, Mkuranga Julai 22, mwaka huu.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim  Taalib alisema jana kuwa mwenge utapokelewa kutoka wilaya ya Rufiji katika kijiji cha Kiparang?anda na baadaye utakwenda moja kwa moja katika kijiji cha wasanii na wanamichezo cha Mwanzega ambako utawasili saa 7 mchana.
Alisema kutokana na ujio wa ugeni huo mkubwa SHIWATA imetangaza ofa ya...

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi: NHC ipatiwe viwanja vya kujenga nyumba nafuu

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amezitaka halmashauri kote nchini kutenga maeneo ya viwanja ili Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) liweze kujenga nyumba bora na za gharama nafuu zitakazouzwa kwa wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

NHC YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAUZO YA VIWANJA VYAKE MRADI WA SAFARI CITY ARUSHA

Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limebadilisha viwango vya bei za kuuzia viwanja vyake kwenye mradi wa Safari City mkoani Arusha kwa kutoa punguzo la asilimia 40% kwa viwanja vyote. Hayo yamebainishwa jana na Meneja wa NHC mkoa wa Arusha Ladislaus Bamanyisa wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Safari City kwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula alipotembelea mradi huo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya NHC...

 

11 years ago

Michuzi

mtandao wa wasanii tanzania (Shiwata) kugawa viwanja bure kwa wanachama wake mkuranga


WILAYA ya Mkuranga katika mkoa wa Pwani imepanga kupeleka Mwenge wa uhuru katika kijiji cha wasanii kilichopo MWANZEGA, Mkuranga Julai 22, mwaka huu, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim  Taalib amesema 

Bw. Taalib kasema kuwa mwenge utapokelewa kutoka wilaya ya Rufiji katikia kijiji cha Kiparang’anda na baadaye utakwenda moja kwa moja katika kijiji cha wasanii na wanamichezo cha Mwanzega ambako utawasili saa 7 mchana.
Alisema kutokana na ujio wa ugeni huo mkubwa SHIWATA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete hataki Katiba mpya, mnahangaika bure

KIFALSAFA kuna makosa ya fikra huitwa falasi (fallacy) na mengine huitwa sofizim (sophism). Aina ya kwanza huwa ni makosa ambayo au hayajakusudiwa, yametokea kwa bahati mbaya, kwa aina ya pili...

 

9 years ago

TheCitizen

Kikwete commissions NHC’s Sh22bn project for Mtwara

President Jakaya Kikwete yesterday commissioned a Sh22.5 billion housing project by the National Housing Corporation (NHC) and hailed the state-owned firm for its drive to build houses for medium income earners across the country.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

Na Sifa Lubasi, Kongwa HALMASHAURI nchini zimetakiwa kununua nyumba za bei nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwapangisha watumishi wake.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akifungua mradi wa nyumba nafuu katika eneo la Mnyakongo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya maeneo watumishi wa halmashauri kukaa mbali na sehemu zao za kazi kwa visingizio vya kukosa makazi.
Alisema sababu hiyo sasa haina msingi katika maeneo ambayo...

 

10 years ago

GPL

KIKWETE AAGIZA HALMASHAURI ZINUNUE NYUMBA NHC‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani