Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kileo akana kuuza nyumba ya Serikali Mbeya mjini

Mkazi wa Mbeya, Sinbonea Kileo anasema hakuuza nyumba aliyouziwa na Serikali, badala yake nyumba hiyo iliuzwa kwa amri ya Mahakama ya Wilaya ya Mbeya Mjini baada ya kuachana na mkewe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Facts Production kuuza filamu zake nyumba kwa nyumba

NiliyemchaguaNA HERIETH FAUSTINE

KAMPUNI ya Facts Production inatarajia kuanza kusambaza filamu yake mpya ya ‘Niliyemchagua’ kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mohammed Kazi ‘Mudy Kazi’ alisema ameamua kufanya hivyo ili kutoa nafasi ya wasiopata muda wa kwenda kununua CD za filamu hiyo katika maduka makubwa waweze kununua wakiwa nyumbani kwao.

“Lakini pia tumeona ni vizuri kwa kuwa itasaidia kuwatambulisha wasanii wetu chipukizi ambao wana uwezo mkubwa kuliko wasanii wenye majina...

 

11 years ago

GPL

TANGAZO LA KUUZA NYUMBA ZA MFUKO WA PSPF

Mfuko wa Pensheni wa PSPF unapenda kuutaarifu Umma kuwa umezindua Mpango Mpya wa uuzaji nyumba zake zilizojengwa kwa ajili ya makazi katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe), Tabora (Usule), Mtwara (Mang’amba), Shinyanga (Ibadakuli) na Iringa (Mawelewele). Bei za nyumba ni kati ya sh. 52,000,000.00 hadi sh. 71,000,000.00 (bila VAT). Bei hizi ni kulingana na ukubwa wa nyumba na mkoa nyumba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHC kuuza nyumba 214 Kigamboni

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limetangaza rasmi kuanza kuuza  nyumba 214, zinazojengwa eneo la Mwongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi wa Uendelezaji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius kuuza nyumba yake ya kifahari

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorious atauza nyumba yake ili aweze kumudu gharama ya kesi ya mauaji inayomkabili.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA

New Picture (7)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuzindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Mjini Kahama. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Felix MaagiNew Picture (2)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi(aliyevaa miwani) akiweka jiwe la msingi katika nyumba zilizojengwa na NHC Wilayani Kahama mkoani Shinyanga.1Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa...

 

9 years ago

GPL

MADAI YA KUUZA NYUMBA, MAMA LULU AWAKA!

Mama mzazi wa staa grade one wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Imelda Mtema
Acheni hizo! Mama mzazi wa staa grade one wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila, amewaka kufuatia madai ya kuuza nyumba ya aliyozawadia na mtoto wake huyo iliyopo Kimara- Saranga jijini Dar akisema kamwe hawezi kuiuza. ....Akiwa na mwanaye. Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHC kuuza nyumba za Kinondoni mil. 253/-

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limezindua mauzo ya nyumba nyingine 118  zilizopo eneo la Hananasif, Mtaa wa Wakulima, Kinondoni, Dar es Salaam, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa ujenzi...

 

9 years ago

Mtanzania

Selena Gomez atangaza kuuza nyumba yake

Selena GomezLAS VEGAS, MAREKANI

MPENZI wa zamani wa msanii wa Pop, Justin Beiber, Selena Gomez, ametangaza kuuza nyumba yake yenye ukubwa wa mita za mraba 7,700.

Mrembo huyo ameitumia nyumba hiyo kwa mwaka mmoja na nusu, lakini kwa sasa ametangaza kuiuza kwa kitita cha dola milioni 3.7.

Selena alisema sababu za kutangaza kuuza nyumba hiyo ni kwamba mwakani hatokuwa na muda wa kukaa kwenye nyumba hiyo kutokana na ratiba yake kumbana na mizunguko ya kibiashara.

“Ninahisi ninafanya maamuzi sahihi ya kuuza...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA‏

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuzindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Mjini Kahama. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Felix Maagi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi(aliyevaa miwani) akiweka jiwe la msingi katika nyumba zilizojengwa na NHC Wilayani… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani