Kili Stars kuanzia kwa Wasomali
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) itaanza harakati za kusaka ubingwa wa mashindano ya Chalenji kwa kuikabili Somalia katika mchezo wao wa ufunguzi Novemba 22 nchini Ethiopia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Kenya yaanza njama kwa Kili Stars
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Kili Stars ‘full’ mzuka kwa Kenya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSbLLGO3dMemxhzCxjZITc88re1H1*3Zi1tqEKgZAICAsKI6OaSRZtLhUbz18rENtlbkeDZgTF6EcOl5iBAFelJ4/kilistars.jpg)
KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
9 years ago
TheCitizen01 Dec
Kili Stars go down fighting
9 years ago
Habarileo23 Nov
Kili Stars moto mkali
TIMU ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, jana ilianza vizuri michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuitandika Somalia kwa mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Addis Ababa, Ethiopia.
9 years ago
Habarileo01 Dec
Kili Stars fungu la kukosa
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imetolewa kwenye michuano ya Chalenji kwa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Ethiopia katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa Addis Ababa nchini Ethiopia. Timu hizo zilifikia hatua ya kupiga penalti baada ya kucheza dakika 90 na kutoka sare ya bao 1-1.
9 years ago
TheCitizen26 Nov
JK galvanises rampaging Kili Stars
9 years ago
Habarileo10 Nov
Kibadeni kocha Kili Stars
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji.
9 years ago
TheCitizen12 Nov
Kili Stars open against Somalia