Kilimo cha chai Morogoro chaonesha tija.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Pamoja na changamoto nyingi zinazowakabili wakulima wa zao la chai Tanzania ikiwemo kuyumba kwa bei ya zao hilo kwenye soko la dunia lakini limeweza kuzitoa kwenye lindi la umaskini kaya zipatazo 30,000 zilizoko katika wilaya 6 nchini zinazozalisha zao hilo.
Katika mkutano wa uzinduzi wa mradi wa utetezi wa wakulima wadogo wa chai nchini ulifanyika mjini Morogoro inabainishwa kuwa pamoja na zao hili kuuzwa bei ndogo kwa kilo katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Tatizo la kudorora kilimo cha pamba ni soko au tija?
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Chuo cha Utumishi chaonesha matundaÂ
CHUO cha Utumishi wa Umma Tanzania kilianzishwa mwaka 2000 chini ya Sheria ya Wakala wa Serikali ya mwaka 1997. Kilianzishwa kutokana na muungano wa Chuo cha Watumishi wa Serikali, Dar...
10 years ago
Vijimambo18 Dec
ZIARA YA KIKAZI YA WANAHABARI KATIKA UJENZI WA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA IDETE MKOANI MOROGORO

5 years ago
MichuziCHUO CHA KILIMO MATI ILONGA MKOANI MOROGORO CHAPANUA WIGO WA UTOAJI MAFUNZO KWA VITENDO
Shamba la migomba la chuo hicho.
Mratibu wa Masomo na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Felix Mrisho (kulia), akizungumzia teknolojia ya kilimo kwa kutumia kitalu nyumba wanayoiendesha kwa kushirikiana na Shirika la Sustainable Agriculture Tanzania (SAT).
Mkuu wa Idara ya Usindikaji chuoni hapo, Moses Chavala, akielezea namna wanavyotoa mafunzo ya usindikaji.
Wakufunzi wa chuo hicho, Antoneta Sunguya na Mariam Marianda wakionesha sufuria inayotumika kuchemshia nyanya kabla ya usindikaji.
Jengo la...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Saccos zina tija sekta ya kilimo
MAENDELEO ya sekta ya kilimo ni muhimu katika jitihada za kuondoa umaskini. Lakini moja ya vikwazo vinavyowakabili wakulima wadogo na wakubwa wa kilimo cha biashara ni kutokuwepo kwa fedha za...
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Mbinu sita za kukifanya kilimo kiwe na tija, kiwavutie Watanzania wengi
5 years ago
Michuzi
WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA
Na Pamela Mollel, Arusha.
KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5 ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira
Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...
11 years ago
Michuzi.jpg)
PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA CHA CHAI CHA LUPONDE
.jpg)
.jpg)