Saccos zina tija sekta ya kilimo
MAENDELEO ya sekta ya kilimo ni muhimu katika jitihada za kuondoa umaskini. Lakini moja ya vikwazo vinavyowakabili wakulima wadogo na wakubwa wa kilimo cha biashara ni kutokuwepo kwa fedha za...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV18 Feb
Kilimo cha chai Morogoro chaonesha tija.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Pamoja na changamoto nyingi zinazowakabili wakulima wa zao la chai Tanzania ikiwemo kuyumba kwa bei ya zao hilo kwenye soko la dunia lakini limeweza kuzitoa kwenye lindi la umaskini kaya zipatazo 30,000 zilizoko katika wilaya 6 nchini zinazozalisha zao hilo.
Katika mkutano wa uzinduzi wa mradi wa utetezi wa wakulima wadogo wa chai nchini ulifanyika mjini Morogoro inabainishwa kuwa pamoja na zao hili kuuzwa bei ndogo kwa kilo katika...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Tatizo la kudorora kilimo cha pamba ni soko au tija?
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Mbinu sita za kukifanya kilimo kiwe na tija, kiwavutie Watanzania wengi
5 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA AITAKA TARI KUFANYA TAFITI ZINAZOLENGA KUONGEZA TIJA NA UZALISHAJI NA KUHAMASISHA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO
5 years ago
MichuziWizara ya Kilimo Lazima Tuongeze Tija na Uzalishaji Ili Kuipeleka Tanzania kwenye Uchumi wa Viwanda – Waziri Hasunga
Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na Wenyeviti, Wakuu wa Bodi za Mazao, na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Kilimo pamoja na Idara na Vitengo vya Wizara ya Kilimo uliofanyika Leo Tarehe 7 Machi 2020 Jijini Dodoma. Wengine Pichani ni Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Sehemu ya Wenyeviti, Wakuu wa Bodi za Mazao, na...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
EU yaipiga jeki sekta ya kilimo
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Changamoto sekta ya kilimo zatajwa
TANZANIA inakabiliwa na changamoto zinazosababisha kudidimia kwa sekta ya kilimo na kuhatarisha upatikanaji wa hakika wa chakula. Mkuu wa Taasisi ya Shirikishi Media kwa Maendeleo ya Jamii (PMCD), Josephat Mwanzi,...