Changamoto sekta ya kilimo zatajwa
TANZANIA inakabiliwa na changamoto zinazosababisha kudidimia kwa sekta ya kilimo na kuhatarisha upatikanaji wa hakika wa chakula. Mkuu wa Taasisi ya Shirikishi Media kwa Maendeleo ya Jamii (PMCD), Josephat Mwanzi,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Feb
Changamoto za wakaguzi wa ndani zatajwa
BAADHI ya Wakaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali wamekuwa wakishindwa kufanya kazi zao kwenye utaratibu mzuri kutokana na wengi wao kutokuwa na ujuzi wa taratibu hizo.
10 years ago
Habarileo11 Dec
Changamoto za kulinda watoto zatajwa
KUTOKUWAPO kwa uhusiano wa karibu kati ya sheria, sera, miongozo na kanuni, bado ni changamoto kubwa katika kulinda na kuwasimamia watoto na vijana waliopo kwenye mazingira magumu.
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Sekta zinazochangia gesijoto zatajwa
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Binilith Mahenge, amesema sekta mbalimbali zikiwamo za nishati, kilimo, misitu na viwanda zinachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la gesijoto duniani. Mahenge alisema...
10 years ago
Michuzi15 May
Changamoto maboresho usimamizi wa fedha za umma zatajwa
![Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0051.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada mbalimbali.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0009.jpg)
![Msemaji wa Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma (katikati) akiuliza swali kwa Mratibu wa Mradi wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) hayupo pichani.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_00171.jpg)
![Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0046.jpg)
10 years ago
Michuzi15 May
Changamoto za maboresho ya usimamizi wa fedha za umma zatajwa
Mratibu wa Mradi huo,Bwa.Sebastian Ndandala ametaja changamoto hizo leo mjini Kibaha alipokuwa akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari pamoja na waendeshaji wa mitandao ya jamii ikiwa ni hatua ya kushirikisha vyombo vya habari juu ya utekelezaji wa...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Dk Bilal aeleza changamoto za kilimo nchini
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Pinda aipa changamoto sekta ya afya
11 years ago
Habarileo09 May
EU yapiga jeki sekta ya kilimo
UMOJA wa Ulaya (EU) umetoa msaada Sh bilioni 135 kwa ajili ya kuboresha sekta ya kilimo nchini pamoja na kupunguza vikwazo vya usafirishaji barabarani.