Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilombero, Ifakara washindwa kufanya uchaguzi

MABARAZA ya madiwani ya Halmashauri ya wilaya ya Kilombero pamoja na Mji Mdogo wa Ifakara mkoani Morogoro yameshindwa kuzinduliwa na kufanya uchaguzi kutokana mgawanyiko wa kisheria na kutofikiwa kwa akidi ya wajumbe na hivyo kuahirishwa kwa muda wa ndani ya siku saba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mafunzo juu ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa watu wenye Ulemavu-Ifakara Kilombero

SAM_0523

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wasioona (TLB) Mwalimu Greyson Mlanga(aliyesimama) akitoa somo juu ya Warsha ya Siku mbili ya Mkatabawa Umoja wa Mataifa Kwa Watu Wenye Ulemavu Mjini Ifakara hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Wilaya ya Kilombero Maria Faya na  Kulia ni Mwalimu Janet Kalalu, Mratibu wa Chama Wilaya.

SAM_0515

Viongozi wa TLB Taifa Wakiungana na Viongozi wa TLB Wilaya ya Kilombero katika kuimba Wimbo wa Haki za Binadamu katika Mafunzo ya Siku Mbili yaliyowakutanisha...

 

11 years ago

GPL

MAFUNZO JUU YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA KWA WATU WENYE ULEMAVU IFAKARA KILOMBERO‏

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wasioona (TLB) Mwalimu Greyson Mlanga(aliyesimama) akitoa somo juu ya Warsha ya Siku mbili ya Mkatabawa Umoja wa Mataifa Kwa Watu Wenye Ulemavu Mjini Ifakara hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Wilaya ya Kilombero Maria Faya na Kulia ni Mwalimu Janet Kalalu, Mratibu wa Chama Wilaya. Viongozi wa TLB Taifa Wakiungana na Viongozi wa TLB… ...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyange, wilayani Kilombero, wakitoa vifaa vyao kwenye makazi yao yaliyozingirwa na maji kutokana na athari ya maafa ya mafuriko. Jumla ya Kaya 250 zilizokuwa zimezingirwa na maji zimeokolewa na kuhifadhiwa shule ya sekondari Nyange.
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...

 

9 years ago

Mwananchi

Unachopaswa kufanya siku ya uchaguzi

Peter Elias, Mwananchi

 

9 years ago

Mwananchi

Unayopaswa kufanya siku ya uchaguzi

Zikiwa zimebaki siku 11 Watanzania wapige kura kwa ajili ya kumchagua rais wa awamu ya tano, elimu ya mpigakura bado ina umuhimu wa pekee.

 

10 years ago

Dewji Blog

Uingereza kufanya uchaguzi Mkuu leo

UK

UK, London. Wananchi wa Uingereza leo  Mei 7,2015, wanatarajia kupiga kura  kuchagua  wagombea  wa vyama  katika uchaguzi mkuu.

Awali katika kampeni za  viongozi wa vyama vya siasa wanaowania viti, akiwemo Waziri Mkuu, David Cameron ameahidi kuifanya Uingereza kuwa katika njia ya mafanikio, wakati ambapo kiongozi wa Chama cha Labour Ed Miliband akiahidi kuwa na serikali itakayowajali kwanza wafanyakazi.

Kiongozi wa Lib Dem, Nick Clegg yeye ameahidi hali ya utulivu. Kura ya maoni inaonyesha...

 

10 years ago

GPL

UINGEREZA KUFANYA UCHAGUZI MKUU KESHO

Baadhi ya viongozi wanaowania nafasi ya Uwaziri Mkuu Uingereza. VIONGOZI wa vyama na wagombea huko Uingereza wanafanya kampeni zao za mwisho kuwashawishi wapiga kura wawapigie kura kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo kesho (Mei 7, 2015). Waziri Mkuu, David Cameron ameahidi kuifanya Uingereza kuwa katika njia ya mafanikio, wakati ambapo kiongozi wa Chama cha Labour Ed Miliband akiahidi kuwa na serikali itakayowajali kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani