KIM AREKODI TENA VIDEO YA NGONO
Mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian. Los Angeles , Marekani MTANGAZAJI maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amezidi kuchafuka baada ya video yake nyingine aliyorekodi akifanya ngono kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Video hiyo inamuonesha Kim akifanya ngono na mwanaume ambaye hakuweza kufahamika jina lake lakini kwa mujibu wa vyanzo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Kim Kardashian aonywa ngono za kila mara
9 years ago
Bongo528 Nov
Video: Naj arekodi wimbo na Jose Chameleone
Naj amemshirikisha Jose Chameleone kwenye wimbo wake ujao.
Muimbaji huyo aliyeachia kazi mpya ‘No Going Home’ hivi karibuni ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imefanyika kwenye studio za High Table Sound za Barnaba.
“Nimefanya na Chameleone who is actually amazing,” amesema Naj.
“He was actually one of the people I always wanted to work with. So nimefanikiwa na wimbo ndio bado tunaumalizia but he has done his part, bado mimi tu kubalizia baadhi ya vitu and then itakuwa tayari before the end...
11 years ago
CloudsFM22 Jul
'SUPA NYOTA' NEY LEE AREKODI VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA YA ’NIPE MUDA’ NCHINI ZAMBIA
Msanii zao la Supa Nyota 2012 Ney Lee anaelekea kukamilisha video ya wimbo wake mpya ‘Nipe Muda’ inayofanyika nchini Zambia na kampuni ya Video ya F2K Production.
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Video za ngono za Jennifer Lopez kuwekwa hadharani
NEW YORK, MAREKANI
ALIYEWAHI kuwa mume wa msanii nyota nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘JLo’, Noa Ojani, amesema anatarajia kuachia video za ngono za mke wake huyo wa zamani.
Video hiyo ilichezwa na wapenzi hao wawili wakati walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi lakini ipo mikononi mwa mwanamume huyo ambaye waliachana miezi 11 tangu kufungwa kwa ndoa yao mwaka 1997.
Pia, Ojani amesema atatoa kopi nyingi za video hiyo ili iweze kusambaa kwa kuwa J. Lo ameshindwa kutimiza
makubaliano yao...
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Majaji 3 nje kwa kutizama video za ngono
10 years ago
GPLBABA WA KIM NDANI YA VIDEO YA KANYE
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Kim Jong-un: Ni nani anayeweza kuiongoza Korea Kaskazini bila Kim?
5 years ago
BBCSwahili15 Feb
Benjamin Griveaux: Video ya ngono yamfanya mshirika wa Macron kujiuzulu