Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kina Mramba kuhukumiwa Juni 30

mafisadiNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

HUKUMU ya kesi inayowakabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona na wenzao inatarajiwa kusomwa Juni 30, mwaka huu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Uamuzi huo ulifikiwa jana, mbele ya jopo la mahakimu watatu, likiongozwa na Jaji John Utamwa, baada ya kupangwa kwa tarehe za majumuisho ya mwisho wa kesi hiyo. Mahakimu wengine katika kesi hiyo ni Sam Rumanyika na Saul Kinemela.

Mbali na Mramba na Yona,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kina Mramba kuendelea kujitetea

Kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh 11.7 bilioni inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake itaendelea kusikilizwa mfululizo kwa upande wa utetezi Novemba 24 mpaka 28, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Hukumu ya kina Mramba yaiva

Dar es Salaam. Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itatoa hukumu katika kesi inayowakabili mawaziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wa Nishati na Madini, Daniel Yona pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Monja, Juni 30, mwaka huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Rufaa ya kina Mramba kujulikana leo

mainNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

HUKUMU ya rufaa iliyokatwa na waliokuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa  Nishati na Madini, Daniel Yona, kupinga adhabu ya vifungo vya miaka mitatu jela inatolewa leo.

Jaji wa Mahakama Kuu, Projest Rugazia wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, anatarajiwa kusoma hukumu hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.

Mahakama hiyo pia itatoa hukumu ya rufani iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka  (DPP), kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuwakatia rufaa kina Mramba

>Siku nne baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwahukumu kifungo cha miaka mitatu jela mawaziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Daniel Yona na Basil Mramba, upande wa mashitaka umewasilisha  kusudio la kukata rufaa.

 

10 years ago

Raia Tanzania

DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba

WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.

Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mosri kuhukumiwa leo

Mahakama nchini Misri inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya rais wa zamani Mohammed Morsi ambaye aliondolewa madarakani mwaka 2013.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyewalawiti Watoto Kenya kuhukumiwa

Raia wa Uingereza aliyewadhalilisha kingono watoto mjini Gilgil nchini Kenya anatarajiwa kuhukumiwa leo nchini Uingereza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyewalawiti Watoto Kenya kuhukumiwa

Raia wa Uingereza aliyewadhalilisha kingono watoto wa kiume katika mji mdogo wa Gilgil nchini Kenya anatarajiwa kuhukumiwa leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani