KINACHOWAPONZA WEMA, KAJALA HIKI HAPA!
![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe6*4EXzscZ-bZYArN6vGsyfiWzlkBu7-f31JDtlFdb4dR9vLDWlk1o7OLzFpCovC1zSQ6-JBs2vylNNY1nG5JSA/kajala.jpg?width=650)
KAMA walivyo Wema Sepetu ‘Madam’ na Aunt Ezekiel kwa sasa ndivyo walivyokuwa Wema na Kajala Masanja miezi kadhaa iliyopita.Wema na Kajala walikuwa mashosti wa kufa mtu, walishibana na kupeana siri zao zote hususan zile za ndani kabisa. Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ . Kudhihirisha kwamba wameshibana, kuna wakati Wema aliamua kujitolea Sh. Mil 13 kulipa faini ambayo ilimnusuru Kajala kuswekwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Hiki Ndicho Alichokisema Meninah Kuhusu Wema na Kajala
Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake lilianza kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies , Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.
Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kilichowaangusha wasaliti hiki hapa
TAMAA ya madaraka na fedha, vimetajwa kama sababu kubwa zilizowasambaratisha wanasiasa wengi waliowahi kuvuma ndani ya vyama mbalimbali vya upinzani nchini tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Kilio cha taifa letu ni hiki hapa