Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA , NAPE WAITEKA KIBAHA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wakazi wa Kibaha mjini wakati wakiwasili kwenye uwanja wa mkutano . Kikundi cha ngoma cha Kisamamwe kikitumbuiza ngoma ya Afrika kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara ambapo Katibu Mkuu wa CCM alihutubia wananchi wa Kibaha mjini. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Kibaha mjini ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa hoja ya msingi kiasi cha kuamua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA AITEKA KIBAHA KIJIJNI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibaha Kijijini kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani ambapo aliwaambia moja ya kazi kubwa ya viongozi wa CCM ni kutekeleza yale walioahidi kwa wananchi.  Mbunge wa Kibaha Kijijini Ndugu Hamoud A. Jumaa akihutubia wakazi wa Kibaha Kijijini na kuwaambia mafanikio waliyoyapata ikiwa pamoja na kufungua ofisi ya kisasa ya Mbunge kugawa pikipiki tisa na baiskeli themanini na sita kwa makatibu kata na mabalozi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Kibaha mjini, akagua na kufungua miradi ya maendeleo

1. Kinana akifyeka msitu kuzindua kambi ya Vijana ya Boko timiza

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuvyeka miti wakati wa uzinduzi wa kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM, ya mafunzo ya kilimo katika eneo la Boko Timiza, Kibaha mjini mkoa wa Pwani. Katika kambi hiyo vijana wanatarajiwa kufanya mafunzo ya kilimo kwenye shamba la ekari 25.

1b. Kijana akiwahamasisha kwa wimbo vijana walioko kambi ya Boko Timiza, Kibaha

 Kijana akihamasisha vijana wenzake, walioko kwenye kambi hiyo ya mafunzo ya kilimo, eneo la Boko Timiza wilaya ya Kibaha mjini.

2. Kinana akipanda mti bada ya kuzindua ujenzi Ofisi ya CCM Kibaha

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda mti kwenye kiwanja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana, Nape wategwa

VYAMA vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi kupitia Umoja wao wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimemtaka Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuacha kulalamika dhidi ya mawaziri mizigo badala yake akiri...

 

10 years ago

GPL

KINANA, NAPE WAFUNIKA JIJINI MWANZA

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi, alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya jana kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza.  Katibu wa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana, Nape hawamjui mbaya wa nchi

KATIKA hali ya kusikitisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia viongozi wake waandamizi, Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, hawamjui mbaya wa maendeleo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana, Nape wakerwa na EFD, BVR

>Chama Cha Mapinduzi kimeonyesha wasiwasi kuhusu matumizi ya teknolojia ya kielektroniki katika uandikishaji wa wapigakura na mashine za ukusanyaji wa kodi (EFD).

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana abanwa, Nape ampiga kijembe Dk Slaa

Wananchi wa Kijiji cha Msisi katika Tarafa ya Mundemu, juzi walizuia kwa mabango msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapiduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakilalamikia shule yao kutelekezwa tangu 2011.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani