Kinana afunika Nzega, Kigwangala na Bashe wachuana kutoa misaada mbele yake
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Nzega njini kwenye mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Parking hapo Nzega ambapo aliitaka serikali kupunguza vikwazo na maamuzi juu ya maendeleo ya wananchi yasichukue muda mrefu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa wilaya ya Nzega kwenye mkutano uliofanyika Nzega mjini na kuwaambia wananchi hao kuwa wasisumbuke na wapinzani kwani wapinzani hawapo kwa ajili ya maslahi ya maendeleo ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi11 May
KINANA AWAKUTANISHA WATANI WA JADI HAMIS KIGWANGALAH NA HUSSEIN BASHE WILAYANI NZEGA
Mbunge wa Jimbo la Nzega Hamis Kigwangalah (kushoto), akimpongeza Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Hussein Bashe aliyetoa...
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Nchimbi ampamba Bashe Nzega Mjini
MJI wa Nzega mkoani Tabora wiki iliyopita ulitawaliwa na nderemo za aina yake wakati mgombea ubun
Christopher Gamaina
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PIe0GM-9ERU/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
Bashe, Kigangwalah wammwagia sifa za urais Dk Magufuli Nzega
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mikono wananchi aqlipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabota.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda jukwaani katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na Spika wa zamani wa Bunge la...
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Dk Khamis Kigwangala: Mbunge wa Jimbo la Nzega
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0ITA-89MWs0/U23fd8kTIrI/AAAAAAACgrQ/m7T0TUtlmTU/s72-c/IMG_8957.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI NZEGA KUENDELEA NA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI MKOANI TABORA
![](http://2.bp.blogspot.com/-0ITA-89MWs0/U23fd8kTIrI/AAAAAAACgrQ/m7T0TUtlmTU/s1600/IMG_8957.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Zij790m46Ls/U23jobEnlAI/AAAAAAACgrs/SqWsqyqwfyI/s1600/DSC_1528.jpg)
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI NZEGA LEO,KESHO NDANI YA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/115.jpg)
MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DK KHAMIS KIGWANGALA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Kinana apokewa kwa mabango Nzega
MSAFARA wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, juzi ulikumbana na wakati mgumu baada ya kupokelewa kwa mabango yanayolaani uamuzi wa serikali ya chama chake kuwaondoa wachimbaji...