Kinana aipongeza NHC
KATIBU Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa kazi nzuri ya ujenzi wa nyumba pamoja na kutoa mafunzo kwa vijana juu ya ufyatulishaji wa matofali.
Kinana alitoa pongezi hizo baada ya kuanza kutembelea Jimbo la Vunjo, juzi na kukagua kikundi cha vijana wanaojishughulisha na ufyatuaji wa matofali.
Alisema NHC mbali ya kazi nzuri ya kujenga nyumba kila sehemu, pia imekuwa ikitoa mashine za kufyatulia matofali kwa vikundi mbalimbali vya vijana.
Kinana...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNHC YAZINDUA UUZAJI WA NYUMBA ZA BIASHARA NA MAKAZI ZA MOROCCO SQUARE,WAZIRI KIRUKI AIPONGEZA NHC KWA UFANISI
Waziri Kairuki aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua mauzo ya nyumba za biashara na makazi zilizojengwa eneo la Morocco Square, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Aliwapongeza Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na wenzake kwa kazi nzuri...
10 years ago
Habarileo06 Dec
Kinana aipongeza Zanu-PF
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amepongeza Chama cha Zanu-PF cha Zimbabwe, kwa kusimama imara licha ya changamoto mbalimbali zinazoikabili nchi hiyo, ikiwemo vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo.
10 years ago
Habarileo21 Sep
Kinana adokeza neema nyumba za NHC
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alisema kuna uwezekano Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya ujenzi vinavyoagizwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ikafutwa kabisa au kushushwa kwa kiasi kikubwa.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-32kmGJ9oX54/U05tHkor3yI/AAAAAAAFbRo/clIZ83hj3K4/s72-c/18.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 60 ZA NHC WILAYANI MLELE MKOANI KATAVI LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-32kmGJ9oX54/U05tHkor3yI/AAAAAAAFbRo/clIZ83hj3K4/s1600/18.jpg)
======== ====== =====
KATIBU Mkuu wa CCM amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa kasi ya ujenzi miradi ya nyumba za makazi na biashara kwenye miji mbalimbali hasa makao makuu ya wilaya mpya.
Kinana aliyasema hayo katika mji wa Inyonga...
10 years ago
Dewji Blog04 May
Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yamhamasisha Mkurugenzi wa Bodi ya NHC
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia...
9 years ago
VijimamboNHC YAZIDI KUPANUA MIRADI, PINDA AZINDUA JENGO LINGINE LA MAKAZI NHC PALACE ENEO LA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Kawambwa aipongeza Tusiime
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, ameipongeza Shule ya Tusiime ya Dar es Salaam ambayo imekuwa ya pili kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka...
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Malinzi aipongeza Yanga
11 years ago
Habarileo31 Jan
Waziri wa Finland aipongeza Tanzania
WAZIRI wa Maendeleo ya Kimataifa wa Finland, Pekka Haavisto ameipongeza Tanzania kwa kuwa nchi yenye amani na watu wake kushiriki katika upatanisho na usuluhishi kwa mataifa mengi Afrika, kwa kutambua kuwa athari za machafuko ya nchi hizo, yana madhara makubwa kwa amani hiyo.