Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana amaliza ziara yake wilaya ya Mpanda

Untitled 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa katika wilaya ya Mpanda mkoani Katavi ambapo nyumba 70 zimekamilika kati ya 90 zitakazojengwa wilayani hapo.

 Nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa zinazojengwa katika wilaya ya Mpanda mkoani Katavi.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ngazi baada ya kukagua mradi wa maji wa Ikorongo,Katibu mkuu ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI NZEGA LEO,KESHO NDANI YA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Taifa Kata ya Bukene, wilayani Nzega, wakati wa mwendelezo wa ziara hiyo ndani ya  Mkoa wa Tabora.Kinana amemaliza ziara yake katika Wilaya ya Igunga na Nzega na kesho kuhamia wilayani Uyui,katika suala zima la kuimarisha chama,kutekeleza na kuhimiza maendeleo ya Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010,sambamban a kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuni kwa namna moja ama nyingine,zira hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara wilaya ya Ngorongoro

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Arash wilaya ya Ngorongoro,ambao  walimueleza Katibu Mkuu wa CCM kero zao,ikiwemo tatizo la kuchomewa makazi yao na askari wa hifadhi pamoja na tatizo la maji.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa mkutano na Baraza la wafugaji,Viongozi wa Kata na Viongozi wa Kimila.

 Wajumbe wa baraza la wafugaji,viongozi wa kata na viongozi wa kimila wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA YA SIKU MBILI WILAYA YA NGORONGORO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Arash wilaya ya Ngorongoro,ambao  walimueleza Katibu Mkuu wa CCM kero zao,ikiwemo tatizo la kuchomewa makazi yao na askari wa hifadhi pamoja na tatizo la maji.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa mkutano na Baraza la wafugaji,Viongozi wa Kata na Viongozi wa Kimila.
 Wajumbe wa baraza la wafugaji,viongozi wa kata na viongozi wa kimila wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE PANGANI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikinga maji wakati wa kuzindua mradi wa maji wa kata ya Mkalamo wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha dumu la maji mmoja wa wakazi wa kata ya Mkalamo
 Wananchi wa Kata ya Mkalamo  wakichota maji safi na salama kwenye mradi wa maji ya kisima kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 29 ambacho kimefadhiliwa na hifadhi ya Taifa ya Saadani.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MTWARA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Mtwara vijijini ,Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kufuatilia utekelezaji wa ilani na kuimarisha chama chetu. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza wananchi wa kata ya Nanyamba kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA DODOMA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo amemaliza ziara yake ya siku 9 katika mkoa wa Dodoma ambapo amesafiri wastani wa kilometa 2289, ametembelea wilaya 7 na majimbo 9 ya uchaguzi.Amehutubia jumla ya mikutano 90 ikiwa pamoja na mikutano ya hadhara  81 na mikutano ya ndani 9.Ameshiriki ,Amekagua,amezindua na kuweka mawe ya msingi  katika jumla ya miradi 73 ikiwemo miradi ya Chama 11 na miradi ya maendeleo ya wananchi 62.Amepokea wanachama wapya wa CCM 8245 wakiwemo 44 kutoka vyama...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA

01Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika ziara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani