Kinara usafirishaji wahamiaji haramu amchafua MwemaÂ
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ameagiza kusakwa na hatimaye kutiwa mbaroni mfanyabiashara Emmanuel Kisima maarufu kwa jina la ‘Papaa’ kutokana na kutumia vibaya jina la mtangulizi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Kinara usafirishaji wahamiaji atoweka
IDARA ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro, inamsaka kwa udi na uvumba mfanyabiashara mmoja maarufu katika miji ya Moshi na Arusha kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu wanaotoka katika...
11 years ago
Habarileo21 Dec
Uhamiaji wanasa kinara wa uvushaji wahamiaji haramu
IDARA ya uhamiaji mkoani Kilimanjaro, imefanikiwa kumkamata kinara wa biashara ya binadamu, Abdul Ndaishimiye (33) raia wa Burundi anayedaiwa kuvusha wahamiaji haramu kuingia nchini kwa wastani wa Sh milioni 2 kwa kila mtu mmoja.
11 years ago
Habarileo05 Aug
Tanzania kinara udhibiti utakatishaji fedha haramu
TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi barani Afrika, ambazo zimeimarisha mifumo yake ya ndani ya kudhibiti utakatishaji wa fedha haramu.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
‘Msihifadhi wahamiaji haramu’
KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru, Rachel Kassanda, amewataka Watanzania kuacha tabia ya kuwahifadhi wahamiaji haramu, kwani kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha amani na usalama wa nchi. Akizungumza baada...
10 years ago
BBCSwahili19 May
EU kupambana na wahamiaji haramu
11 years ago
Habarileo02 Jan
JK aonya wahamiaji haramu
RAIS Jakaya Kikwete ameonya wahamiaji haramu wanaorejea nchini baada ya Operesheni Kimbunga kumalizika na kusema kama wanafanya hivyo, wanajisumbua, hawatadumu nchini.
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Wahamiaji haramu 21 wakamatwa
IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara...
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mikakati kupambana na wahamiaji haramu
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Wahamiaji haramu 40 wazama Yemen