Tanzania kinara udhibiti utakatishaji fedha haramu
TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi barani Afrika, ambazo zimeimarisha mifumo yake ya ndani ya kudhibiti utakatishaji wa fedha haramu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania22 Jan
Wakili Mwale asomewa mashtaka 42 ya utakatishaji fedha haramu
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
WAKILI maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, wamesomewa mashtaka 42 yanayohusu utakatishaji wa fedha haramu, kughushi nyaraka na kukutwa na mali zilizopatikana kwa njia za uhalifu.
Watuhumiwa hao walisomewa mashtaka ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mustapha Siyani kabla ya kesi hiyo haijapelekwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha kwa kuanza kusikilizwa.
Akisoma maelezo hayo ya awali, Wakili...
10 years ago
MichuziSerikali yajidhatiti Kudhibiti Makosa ya Utakatishaji fedha haramu Nchini- AG Masaju
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Victoria yakwamisha udhibiti biashara haramu
10 years ago
Habarileo04 Apr
Watatu kortini utakatishaji fedha
WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya wizi na utakatishaji wa fedha.
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Wawili washitakiwa kwa utakatishaji fedha
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne ya kula njama, wizi na kutakatisha fedha haramu.
Akisoma hati ya mashtaka juzi, Wakili wa Serikali, Shedrack Kimaro, mbele ya Hakimu Mkazi, Kwey Lusemwa, alidai washtakiwa hao walitenda kosa hilo kati ya Aprili 2014 na Februari 2015.
Aliwataja washtakiwa hao kuwa ni Kassim Abdallah, Yassin Ramadhan na Thendo Ally, wote kwa pamoja walikula njama ya kuiibia...
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Mar
Kortini kwa wizi, utakatishaji fedha
NA FURAHA OMARY
MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Telesphory Gura (43), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kumwibia mwajiri wake sh. milioni 241 na kutakatisha fedha haramu.
Gura, mkazi wa Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Frank Moshi.
Wakili wa Serikali, Genes Tesha, alimsomea Gura mashitaka matano ya wizi wa sh. 241,163,668 na ya kutakatisha fedha zaidi ya sh....
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Kinara usafirishaji wahamiaji haramu amchafua MwemaÂ
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ameagiza kusakwa na hatimaye kutiwa mbaroni mfanyabiashara Emmanuel Kisima maarufu kwa jina la ‘Papaa’ kutokana na kutumia vibaya jina la mtangulizi...
11 years ago
Habarileo21 Dec
Uhamiaji wanasa kinara wa uvushaji wahamiaji haramu
IDARA ya uhamiaji mkoani Kilimanjaro, imefanikiwa kumkamata kinara wa biashara ya binadamu, Abdul Ndaishimiye (33) raia wa Burundi anayedaiwa kuvusha wahamiaji haramu kuingia nchini kwa wastani wa Sh milioni 2 kwa kila mtu mmoja.
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Mifumo ya utakatishaji fedha na jinzi unavyoathiri uchumi