Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


King Class Mawe apata leseni

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Class ‘King Class Mawe’ amekabidhiwa leseni, kitambulisho na nyaraka mbalimbali za kumtambua kitaifa na kimataifa. Akizungumza wakati wa utoaji wa leseni kwa bondia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APATA LESENI

 Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini T.P.B.O Yassin Abdalla 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi leseni ya ngumi bondia Ibrahimu  'King Class Mawe' ambayo anaweza kutumia Dunia nzima kwa ajili ya kutambulika kitaifa na kimataifa ambayo inaweka rekodi mbalimbali za bondia pindi anapocheza mchezo.

 

11 years ago

GPL

BONDIA KING CLASS MAWE APATA LESENI

Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO, Yassin Abdallah 'Ustaadh' (kushoto) akimkabidhi leseni ya ngumi bondia Ibrahim Class 'King Class Mawe' ambayo anaweza kuitumia dunia nzima katika mapigano yake. Bondia Ibrahim Class 'King Class Mawe' akiwa na nyaraka mbalimbali alizokabidhiwa na Rais wa TPBO, Yassin Abdallah 'Ustaadh'. (Picha na Super… ...

 

9 years ago

Michuzi

KOCHA SUPER D AMNOA BONDIA IBRAHIMU CLASS "KING CLASS MAWE"

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimpa mazoezi ya nguvu ya kujenga misul, Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake dhidi ya Bondia Twaha Kassimu, utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani Morogoro Desemba 25, mwaka huu.Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akifundishwa jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa juu 'UpperCut' wakati wa mazoezi ya bondia huyo kujiandaa na mpambano wake dhidi ya Bondia Twaha...

 

11 years ago

Michuzi

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA

Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto 'kushoto' akiongoza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kumpokea Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  aliyeshika mkanda baada ya kurudi na mkanda wa WPBF kwa kumpiga Mzambia Mwansa Kabinga katika uwanja wa Arthur Davis mjini Kitwe, Zambia, kwa KO  ya raundi ya 9 na  kufanikiwa kunyakuwa ubingwa huo. Wa pili  kushoto ni bondia Shomari Milundi, kulia ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Yaj Msangi, wadau Bilali Ngonyani na Rogers...

 

10 years ago

Michuzi

IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUZICHAPA FEBRUARI 28,2015

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa U.B.O Africa,Antony Rutta (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka (kushoto) na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaopigwa  februari 28,2015  katika ukumbi wa frends corner manzese jijini Dar es salaam.Mabondia Cosmas Cheka (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika februari 28,2015 katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APOTEZA MCHEZO WA KWANZA NAMIBIA

BONDIA IBRAHIMU CLASS "King Class Mawe" mwenye rekodi namba moja nchini Tanzania na ni namba 216 kwa Dunia  amepoteza mpambano wake wa kwanza nchini Namibia kwa kupigwa kwa pointi na bondia Julius Indongo mwenye rekodi ya Namibia namba moja na Duniani ni namba 76 kwa ubora
mpambano huo uliofanyika machi 20,mwaka huu katika ukumbi wa Windhoek Country Club Resort,Windhoek, Namibia.
Mpambano huo ulianza kwa kasi ya ajabu ambapo bondia Class alimkalisha chini Indongo na kuhesabiwa na mpambano...

 

11 years ago

Michuzi

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AWASHUKURU VIONGOZI WA NGUMI NCHINI

BONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' amewashukuru viongozi wa ngumi nchini kwa sapoti yao wanayo mpa tangu ahanze ngumi mpaka sasa kwani yeye malengo yake ni kufika mbali zaidi baada ya kunyakuwa mkanda wa ubingwa unaotambuliwa na WPBF Africa Welterweight Title 
Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa DDC Keko kulipokuwa na mkutano mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini cha TPBC, ambapo alikutana na viongozi mbalimbali na kupongezwa kwa kunyakuwa mkanda huo wa...

 

9 years ago

Michuzi

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWSBondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaamMabondia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani