KING KIKI: KILA SIKU NASALI BABU SEYA AACHIWE
Stori: Elvan Stambuli MWANAMUZIKI mkongwe katika muziki wa dansi nchini, Kikumbi Mwanza Mpango ‘King Kiki’ amesema huwa anasali kila siku kumuombea mwanamuziki mahiri nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Pakii Kocha’ waachiwe kutoka gerezani. Mkongwe katika muziki wa dansi nchini, Kikumbi Mwanza Mpango ‘King Kiki’ akisisitiza jambo katika ofisi za Global...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBABU SEYA, PAPII...
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Babu Seya atua Mahakama ya Afrika
*Awasilisha hoja tatu, alia na Serikali kuvunja sheria
*Asimulia jinsi alivyoteswa alipokuwa mahabusu
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
HATIMAYE mwanamuziki, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wametua katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR) Arusha.
Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani.
Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/ 2015, wanaiomba...
9 years ago
GPLBABU SEYA,PAPII VICHEKO GEREZANI
11 years ago
GPLBABU SEYA, PAPII MIAKA 10 GEREZANI
11 years ago
GPLBABU SEYA, PAPII FURAHA UPYA!
11 years ago
GPLMARANDO: BABU SEYA ALIBAMBIKIWA KESI
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Babu Seya, Papii Kocha wamlilia JK
11 years ago
GPLKING KIKI ATEMBELEA OFISI ZA GPL
9 years ago
Daily News31 Aug
UVCCM hit at Lowassa on terror suspects, 'Babu Seya'
IPPmedia
UVCCM hit at Lowassa on terror suspects, 'Babu Seya'
Daily News
THE CCM youth wing, UVCCM, has criticised the Union presidential candidate on the Coalition of Four Opposition Parties, Ukawa, Mr Edward Lowassa, over his utterances in regard to re-examining terror suspects' case as well as two convicted rapists.
.....as Dr Magufuli partially loses speech in MbeyaIPPmedia
Tanzania's opposition vows to review mining, gas contractsGbooza
Presidential Campaigns Kick Off in...