King Majuto ‘kuvunja mbavu’ Zanzibar siku ya KARUME DAY, Aprili 7
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Msanii mkali wa maigizo na vichekesho, Nchini, Amri Athuman a.k.a King Majuto anatarajiwa kufanya shoo maalum ya vichekesho katika viwanja vya kufurahia watoto Kariakoo, Aprili 7, mwaka huu Mjini Unguja, Zanzibar.
Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo kampuni ya Bond Entertainment Limited, kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), walieleza kuwa gwiji huyo wa vichekesho King Majuto ambaye pia ni mkongwe anayetamba ndani na nje ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Apr
KING MAJUTO KUVUNJA MBAVU VIWANJA VYA KARIAKOO ZNZ siku ya KARUME DAY, Aprili 7

10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
Tigo yaadhimisha Karume Day mjini Zanzibar
Pichani juu na chini ni sehemu ya umati, uliokusanyika katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar katika kuadhimisha siku ya Karume, iliyoandaliwa na Tigo.
Watoto wakishindana kudansi nyimbo za kisasa katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar katika kuadhimisha siku ya Karume, iliyoandaliwa na Tigo.
Mfalme wa vichekesho Tanzania, kwa jina maarufu King Majuto, akitambulishwa mbele ya umati uliohudhuria tamasha la Tigo, la kuadhimisha siku ya Karume...
5 years ago
Michuzi
KARUME DAY KUMBUKIZI YA MIAKA 48 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME.

By MZEE WA ATIKALI ✍️✍️✍️
1. USULI:
Jumanne ya leo, tarehe 7.4.2020, imetimia miaka 48 toka aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndugu SHEIKH ABEID AMANI KARUME, alipouawa kwa kumiminiwa risasi nane na Luteni HOMOUD MOHAMMED BARWAN katika Afisi Kuu ya Afro Shiraz Party, Kisiwandui, Zanzibar.
Kwa mujibu wa "The Public Holidays Act, Cap. 35 (RE 2002)", sikukuu za kitaifa nchini ziko 17 na mojawapo ya sikukuu hizo ni "KARUME DAY". Hivyo, leo ni siku ya mapumziko.
Je, Mwanamapinduzi huyu...
10 years ago
Bongo Movies31 May
King Majuto Agutuka
Staa mkongwe wa filamu za vichekesho King Majuto ameamua kufanya filamu zake mwenyewe na si zakushirikishwa kama kipindi cha nyuma.
Akizungumza na gazeti la Nipasge wiki hii, Majuto alisema ameamua kuwa anatoa filamu zake baada ya kuona vijana wadogo ambao wameanza kazi za uigizaji hivi karibuni wanafanya kazi za kutengeneza filamu zao wenyewe katika kampuni zao.
Majuto alisema anatafakari mbinu za kujiekea mazingira mazuri kwa ajili ya kutengeneza filamu zake.
“Nimechoka kucheza...
9 years ago
Bongo Movies19 Dec
King Majuto Kuja na Lakuvunda
AMRI Athuman ‘King Majuto’ baada ya kutoka Hija anatarajia kuja na filamu kali ya Lakuvunda ambayo itakuwa ni funga mwaka 2015, sinema hiyo ambayo imetengenezwa katika kiwango cha kimataifa, akiongea FC msemaji wa kampuni ya Splash Entertanment Steve Selenge amesema ni kazi nzuri.
“Filamu ya Lakuvunda imetengenezwa katika kiwango cha hali ya juu sana maana ni kazi ya kufunga mwaka kuanzia ubora wa hadithi production na waigizaji hasa King Majuto amefunika,”anasema Selenge.
Sinema ya...
10 years ago
Vijimambo
ERIC OMONDI KUVUNJA MBAVU ZA WAKAZI DAR JUMAMOSI HII, KUSINDIKIZWA NA SARABI BAND, LEO MKANYIA NA GRACE MATATA


9 years ago
Bongo Movies26 Nov
JB: King Majuto Atacheza Filamu Yangu
STAA wa filamu Bongo Jacob Stephen maarufu kama JB, amesema licha ya muigizaji mkongwe Amri Athumani ‘King Majuto’ kudai kuiweka kando sanaa ili afanye mambo ya kumpendeza Mungu baada ya kurejea kutoka hija huko Makka, atafanya hivyo baada ya kucheza kazi atakayoiandaa.
Akizungumza na gazeti hili, alisema yeye ni kama mtoto kipenzi wa Mzee Majuto, hivyo hawezi kukataa ombi lake kwa kuwa hata yeye anataka kustaafu kuigiza baada ya kufanya filamu moja na muigizaji huyo aliyejipatia umaarufu...
10 years ago
GPL
AUNTY ACHUKIZWA NA UAMUZI WA KING MAJUTO