Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kingunge asema, uongozi, biashara vitenganishwe

Na Emmanuel Lengwa Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, ameitaka Serikali kutunga sheria itakayowabana wafanyabiashara  wanaojiingiza kwenye siasa na kugombea uongozi kujitenga na biashara zao kwa kipindi chote wanachofanya kazi za utumishi wa umma ili kuimarisha uadilifu wa viongozi. Kingunge aliyasema hayo wakati wa mahojiano maalum na NIPASHE mjini Dodoma na kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazolikabili taifa pamoja na namna ya kukabiliana nazo. Alisema kuwa...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kingunge ajiondoa CCM, asema chama kimekiuka katiba

Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru leo ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kusema hatajiunga na chama kingine chochote.

 

9 years ago

Mwananchi

Kingunge jukwaa moja na Ukawa, asema CCM imeishiwa pumzi

Mwanasiasa mkongwe na miongoni wa waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru leo amehutubia katika jukwaa la kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kusema chama tawala kimeishiwa pumzi.

 

10 years ago

Mwananchi

January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo

Kwa maelezo zaidi Bonyeza vidio

The post Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama

Lowassa_Ilala

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).

Kingunge udhamini

Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Obama asema uongozi wa Trump umefeli kukabiliana na ugonjwa huo

Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama kwa mara nyingine tena amemkosoa mrithi wake Donald Trump anavyoshughulikia janga la virusi vya corona

 

11 years ago

Dewji Blog

Makundi, Majungu, Fitina ni sumu kwa Uongozi wa CCM Zanzibar — Asema Balozi Ali Seif Idd

299

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi wa  CCM wa Jimbo la Mgogoni  katika Tawi la CCM Magogoni akiiongoza Timu ya Wajumbe wa Barza la Wawakilishi kupitia CCM ya kuimarisha nguvu za CCM katika Mikoa mbali mbali ya Zanzibar.

281

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Magogoni wakifuatilia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif hayupo pichani aliyoitoa wakati wa ziara yake na Wawakilishi wa CCM ndani ya Jimbo hilo.(Picha na...

 

5 years ago

Michuzi

MGALU ASEMA ATACHAPAKAZI NA KUTUMIKIA JAMII SI KWA AJILI YA UCHAGUZI BALI KUTIMIZA DHAMANA YA UONGOZI ALIYOPEWA






NA MWAMVUA MWINYI, PWANI .
Mbunge Viti Maalum – Pwani, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema ataendelea kupiga kazi na kutumikia wanawake pamoja na wananchi si kwa ajili ya uchaguzi bali kwakuwa amepewa dhamana ya kutumikia wananchi kipindi cha miaka mitano .

Aliyasema hayo ,wakati alipotoa mchango wa vyerehani 29 katika hatua ya awali kwa kundi la watu wenye Ulemavu kupitia mashirikisho yao ya ngazi za Wilaya na Mkoa.

Mgalu amefanya tukio hilo kwa kuitekeleza Ilani ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha Julai hadi  Disemba 2019 / 2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kilia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Hassan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani