Kingunge jukwaa moja na Ukawa, asema CCM imeishiwa pumzi
Mwanasiasa mkongwe na miongoni wa waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru leo amehutubia katika jukwaa la kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kusema chama tawala kimeishiwa pumzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Kingunge ajiondoa CCM, asema chama kimekiuka katiba
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo
Kwa maelezo zaidi Bonyeza vidio
The post Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Diamond Platnumz jukwaa moja na T-PAIN ndani ya CCM Kirumba 21st Februari 2015
Msanii maarufu Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz a.k.a CHIBU DANGOTE anatarajia kufanya bonge la show jukwa moja akiwa na msanii wa maarufu wa Hip hop kutoka nchini Marekani katika show ya kuzaliwa kwa redio JEMBE FM ya jijini Mwanza iliyoandaliwa na STEP UP Ltd kwa kushirikiana na JEMBE NI JEMBE Itakayofanyika kwa mara ya kwanza Jijini Mwanza ndani ya uwanja wa CCM Kirumba tarehe 21st mwezi Februari mwaka huu.
Diamond alipost kupitia ukura wake wa Instagram maneno haya.
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
10 years ago
KwanzaJamii18 Sep
Kingunge asema, uongozi, biashara vitenganishwe
10 years ago
Mwananchi18 Jul
January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Belle 9, Hemed, Izzo B jukwaa moja
NA OSCAR ASSENGA, TANGA WASANII wa muziki wa Bongo Fleva, Abelnago Damiani ‘Belle 9’, Hemed Phd na Izzo Business, wanatarajiwa kutoa burudani katika onyesho maalumu la siku ya wapendanao lililopewa jina la Red &White Party mkoani Tanga. Akizungumza na MTANZANIA jana, Mratibu wa onyesho hilo, Mbwana Imamu, alisema maandalizi yote yamekamilika na wasanii wataripoti mkoani humo Februari 13 mwaka huu. Mbwana alisema lengo kubwa la onyesho hilo ni kuwapa burudani
wakazi wa Tanga katika siku hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Mwaitege jukwaa moja na Kayala Agosti 9
MKALI wa muziki wa injili nchini, Bony Mwaitege, anatarajia kupanda jukwaa moja na mwimbaji mwenzake, George Kayala anayetarajia kuzindua albamu yake ya ‘Siwema’ iliyopo katika mfumo wa CD Agosti 9,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ga-m98g2ICc/VHczDAL_CtI/AAAAAAAGzw4/0mWhAYEBlMM/s72-c/unnamed.jpg)
Mashujaa jukwaa moja na Bileku Mpasi
MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Bileku Mpasi, atafanya onesho maalum katika utambulisho wa nyimbo mbili mpya za bendi ya Mashujaa utakaofanyika Desemba 12 mwaka huu kwenye ukumbi wa Ten Lounge zamani Business Park.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mratibu wa onesho hilo, King Dodoo la Buche, alisema kuwa Mpasi ambaye alitamba katika tasnia ya muziki wa dansi alipokuwa na gwiji, marehemu, Pepe Kale, atakuja na wasanii...