Mashujaa jukwaa moja na Bileku Mpasi

Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Bileku Mpasi, atafanya onesho maalum katika utambulisho wa nyimbo mbili mpya za bendi ya Mashujaa utakaofanyika Desemba 12 mwaka huu kwenye ukumbi wa Ten Lounge zamani Business Park.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mratibu wa onesho hilo, King Dodoo la Buche, alisema kuwa Mpasi ambaye alitamba katika tasnia ya muziki wa dansi alipokuwa na gwiji, marehemu, Pepe Kale, atakuja na wasanii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBILEKU MPASI KUTOKA CONGO (DRC) NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12
10 years ago
GPLMWANAMUZIKI BILEKU, MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12-2014 UKUMBI WA ASCAPE 1 MIKOCHENI JIJINI DAR
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Belle 9, Hemed, Izzo B jukwaa moja
NA OSCAR ASSENGA, TANGA WASANII wa muziki wa Bongo Fleva, Abelnago Damiani ‘Belle 9’, Hemed Phd na Izzo Business, wanatarajiwa kutoa burudani katika onyesho maalumu la siku ya wapendanao lililopewa jina la Red &White Party mkoani Tanga. Akizungumza na MTANZANIA jana, Mratibu wa onyesho hilo, Mbwana Imamu, alisema maandalizi yote yamekamilika na wasanii wataripoti mkoani humo Februari 13 mwaka huu. Mbwana alisema lengo kubwa la onyesho hilo ni kuwapa burudani
wakazi wa Tanga katika siku hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Mwaitege jukwaa moja na Kayala Agosti 9
MKALI wa muziki wa injili nchini, Bony Mwaitege, anatarajia kupanda jukwaa moja na mwimbaji mwenzake, George Kayala anayetarajia kuzindua albamu yake ya ‘Siwema’ iliyopo katika mfumo wa CD Agosti 9,...
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Jokha Kassim, Msaga Sumu jukwaa moja
NA MWALI IBRAHIM
WAIMBAJI wa taarabu, Jokha Kassim na Msaga Sumu, wanatarajiwa kunogesha onyesho maalumu la kundi la taarabu la Wakali wao Modern Taradansa, litakalofanyika Ijumaa hii katika ukumbi wa JM Hotel, Manzese, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kundi la Wakali wao, Thabit Abdul, alisema usiku huo ni maalumu kwa ajili ya kuukaribisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, unaotarajiwa kuanza Juni 19.
“Tumewaandalia mashabiki wetu zawadi ya wimbo mpya ambao tutauzindua siku hiyo...
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Linah, Feza jukwaa moja na Davido Nigeria leo
NA MWANDISHI WETU
WANAMUZIKI nyota wa Bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga ‘Linah Sanga’ na Feza Kessy, leo watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria, katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival, litakalofanyika Lagos, Nigeria.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii wakali nchini humo kama vile Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide, huku wengine wakiwa Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle na...
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Kingunge jukwaa moja na Ukawa, asema CCM imeishiwa pumzi
11 years ago
Bongo501 Aug
Vanessa Mdee kushare jukwaa moja na Jose Chameleone leo
9 years ago
Michuzi
Linah, Feza Kessy ndani ya jukwaa moja na Davido nchini Nigeria

Wanamuziki nyota wa bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga maarufu kwa jina la Linah Sanga na Feza Kessy ijumaa watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii nyota wa Nigeria kama, Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide. Katika orodha hiyo wapo wasanii nyota wengine kama Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle...