Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kingwendu aumezea mate ubunge 2015

MSANII wa filamu za vichekesho nchini, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’, amesema yupo katika mipango ya kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015. Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Kingwendu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KINGWENDU ACHUKUA FOMU YA UBUNGE

Kingwendu akikabidhiwa fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kisalawe kwa tiketi ya CUF. Katika hali ya kuonyesha kuwa UKAWA imedhamiria kushika dola, mgombea wa ubunge jimbo la Kisarawe kwa tiketi ya Chama Cha wananchi (CUF),  Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' jana amechukua fomu ya ubunge na kuahidi kuwa muda wa kwenda kubutua mijicho yake na kutoa ulimi nje umewadia, huu ndio muda wa heno heno. ...

 

9 years ago

GPL

UBUNGE KUMWACHISHA KINGWENDU UIGIZAJI

Mchekeshaji maarufu Bongo, Rashidi Mwinishehe ‘Kingwendu’. Chande Abdallah Mchekeshaji maarufu Bongo, Rashidi Mwinishehe ‘Kingwendu’ ameweka wazi kwamba yupo njiani kuachana na mambo ya uigizaji mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza na mwandishi wetu, Kingwendu ambaye anagombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kisarawe kwa kupitia tiketi ya CUF, amesema kwamba kwa sasa kitu anachokifikiria ni kuwatumikia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kingwendu Kugombea Ubunge Mwaka Huu!!

Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa Bongo, Rashid Mwinshehe  "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania wengi bila ya Kutaja Jina la Chama hicho wala Jimbo atakalogombea.

Wataalamu wa Masuala ya Kisiasa Nchini, wameitafsiri Kauli hiyo ya Kingwendu Kwa Mitazamo tofauti, huku Wengi Kati yao Wakisema Kuwa Upinzani Una Nguvu Kubwa hivi sasa hapa Nchini, hivyo Sio ajabu Kwamba yawezekana Msanii huyu amevutiwa na Kuamua...

 

9 years ago

Bongo5

Hiki ndicho alichokisema Kingwendu baada ya kukosa ubunge

Aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la Kisarawe, Rashid Mwinshehe maarufu kama Kingwendu, amesema baada ya kushindwa, anajipanga upya kwa mwaka 2020. Kingwendu aliyekuwa akigombea kupitia CUF, amesema licha ya kushindwa katika chaguzi huo, ameweza kujitangaza Afrika Mashariki na kuonesha uwezo wake. “Nimejaribu na nimeweza lakini bahati haikuwa yangu,” amesema. “Katika ushindani kuna mawili, kushinda […]

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"



 Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo. Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni...

 

10 years ago

TheCitizen

Dr Magufuli names Samia Suluhu Hassan as his running mate ahead of the 2015 elections

Dr John Magufuli who was overwhelmingly endorsed by CCM as the party’s Union presidential candidate names Samia Suluhu Hassan as his running mate.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shilole atamani ubunge 2015

STAA wa muziki wa mduara anayefanya vizuri, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amesema anatarajia kugombea ubunge katika jimbo analotoka la Igunga mkoani Tabora katika uchaguzi wa mwaka 2015. Akizungumza jijini Dar es...

 

11 years ago

Habarileo

Mrema kugombea ubunge 2015

Augustine Lyatonga MremaMBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.

 

10 years ago

GPL

MSIGWA APIGWA ZENGWE UBUNGE IRINGA 2015

Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msingwa Stori: Mwandishi Wetu, Iringa KATIBU wa  CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassani Mtenga, mwishoni mwa wiki iliyopita  alikiona cha moto baada ya kuzomewa na wananchi baada ya kuwataka wapiga kura hao wamshawishi Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa asichukue fomu za kugombea kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao  kwa kuwa hatashinda. Tukio hilo lililotokea katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani