Kingwendu Kugombea Ubunge Mwaka Huu!!
Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa Bongo, Rashid Mwinshehe "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania wengi bila ya Kutaja Jina la Chama hicho wala Jimbo atakalogombea.
Wataalamu wa Masuala ya Kisiasa Nchini, wameitafsiri Kauli hiyo ya Kingwendu Kwa Mitazamo tofauti, huku Wengi Kati yao Wakisema Kuwa Upinzani Una Nguvu Kubwa hivi sasa hapa Nchini, hivyo Sio ajabu Kwamba yawezekana Msanii huyu amevutiwa na Kuamua...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo515 Aug
Steve Nyerere kugombea ubunge jimbo la Kinondoni mwaka 2015
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Wanamichezo wanaoutaka ubunge mwaka huu
10 years ago
Michuzi14 Aug
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Hawa Ndio Mastaa wa Bongo Movies Wanaoutamani Ubunge Mwaka Huu
Uchaguzi mkuu wa kupata Rais, Wabunge na Madiwani upo jirani. Utafanyika mwaka huu na tayari mpaka sasa watu wenye nia ya kuwania nafasi hizo wamesikika au kutajwa kujiweka mguu sawa kabla ya filimbi kupulizwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec).
Baadhi ya waigizaji wa filamu nao hawajalaza damu, wametangaza nia yao ya kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho, macho yao yakielekezwa kwenye Ubunge.
Dude, Tabora Mjini
Ni msanii wa maigizo anayegombea ubunge katika jimbo la Tabora Mjini. Dude...
10 years ago
Vijimambo
BALOZI SEIF AWAONGOZA WALIOPITISHWA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI JIMBO LA MAHONDA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA HUU KUWASHUKURU WANA CCM



10 years ago
GPL
UBUNGE KUMWACHISHA KINGWENDU UIGIZAJI
10 years ago
GPL
KINGWENDU ACHUKUA FOMU YA UBUNGE
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Kingwendu aumezea mate ubunge 2015
MSANII wa filamu za vichekesho nchini, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’, amesema yupo katika mipango ya kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015. Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Kingwendu...
10 years ago
Bongo528 Oct
Hiki ndicho alichokisema Kingwendu baada ya kukosa ubunge