MSIGWA APIGWA ZENGWE UBUNGE IRINGA 2015
![](http://api.ning.com:80/files/HRXB3pTHxIqN80lPOSbZt8VptLr23aJCrEp05oRRZFhiZd*C1k5O4H4bwa9X1RIRLSiM*1aeOK*eezVx1lIOFmrfHG0C1ipg/msigwa.jpg?width=650)
Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msingwa Stori: Mwandishi Wetu, Iringa KATIBU wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassani Mtenga, mwishoni mwa wiki iliyopita alikiona cha moto baada ya kuzomewa na wananchi baada ya kuwataka wapiga kura hao wamshawishi Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa asichukue fomu za kugombea kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa hatashinda. Tukio hilo lililotokea katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvRW5Z5zK*fG-G*3yOjWx9CAjLntPUPxmrypGRWyFi4dzXzoXB-F9f1g03Izy20-G8VzQgUrVq9klsjrxubXPTKU/BackAmani.jpg?width=650)
ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LxvMl_N0rUs/VaNWMT99dnI/AAAAAAAHpQc/a1blBPwPumg/s72-c/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
MWENYEKITI WA BAVICHA AMVAA MCHUNGAJI MSIGWA UBUNGE IRINGA MJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-LxvMl_N0rUs/VaNWMT99dnI/AAAAAAAHpQc/a1blBPwPumg/s320/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4MyLf6WyAIc/VavIziIWuMI/AAAAAAADzjs/t8UzEvcLz-U/s72-c/b4d3bef478ea198d2d08c6d34b40c839.jpg)
MSIGWA APATA RIDHAA YA WANANCHI KUONGOZA MIAKA MITANO MINGINE KITI CHA UBUNGE IRINGA MJINI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4MyLf6WyAIc/VavIziIWuMI/AAAAAAADzjs/t8UzEvcLz-U/s640/b4d3bef478ea198d2d08c6d34b40c839.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HtO-gnXQquw/VavIy-9PURI/AAAAAAADzjQ/XS7CCiF7J7I/s640/4e84c731519dfb5728f7672ed9e39b23.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yRajGeLovA8/VavIzTypiII/AAAAAAADzjw/lfyVHr__iTA/s640/b266a25a62f4883f4094bc22a36afd09.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aS-GXWD0PSg/VavIzR-IKHI/AAAAAAADzjY/A2BgAPLx3yw/s640/63d5ba9db8950c6bdc3034ea66373a74.jpg)
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Mbowe aundiwa zengwe ubunge Hai
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s72-c/20150601_161420.jpg)
Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s400/20150601_161420.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Msigwa awaasa walimu Iringa
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amewataka walimu wa Halmashauri ya Iringa, wagome kulipa michango ya lazima kwa ajili ya ujenzi wa maabara. Msigwa alitoa kauli hiyo jana...