ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!
![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvRW5Z5zK*fG-G*3yOjWx9CAjLntPUPxmrypGRWyFi4dzXzoXB-F9f1g03Izy20-G8VzQgUrVq9klsjrxubXPTKU/BackAmani.jpg?width=650)
Mwandishi wetu Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung’aa kwenye vyombo vya habari baada ya baadhi ya watu kumpiga zengwe la madai kwamba eti hafanani na baba yake, Moses Iyobo ‘Moze’. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Huku ishu hiyo ikipingwa vikali na Aunt,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HRXB3pTHxIqN80lPOSbZt8VptLr23aJCrEp05oRRZFhiZd*C1k5O4H4bwa9X1RIRLSiM*1aeOK*eezVx1lIOFmrfHG0C1ipg/msigwa.jpg?width=650)
MSIGWA APIGWA ZENGWE UBUNGE IRINGA 2015
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Zengwe la Ukawa
JOB Yustino Ndugai (55), amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa vigezo maalu
Mwandishi Wetu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3mZv6YnFzBpLdGARY0tyfVZC*CB6Dc2Qrn0GHjtrA2CixTKYkoTaZEWu6ndns2Kk9jNa*wWF*7E--sx07iSxAj/a.gif?width=650)
ZENGWE MJENGO WA DIAMOND!
10 years ago
Vijimambo25 Oct
Pinda asukiwa zengwe
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mizengo%20Pinda-October25-2014.jpg)
Hatua hiyo inadaiwa kufikiwa katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha Wakulima wa Pamba (Tacoga) na kufanyika juzi katika ukumbi wa Benki Kuu (BoT) jijini Mwanza.
Pamoja na kulenga ajenda za changamoto zinazowakabili wakulima, wafugaji...
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Pinda aundiwa zengwe UVCCM
MIZENGWE ya urais wa 2015 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kupamba moto huku makundi ya wapambe wa makada wanaotajwa kuitaka nafasi hiyo, yakipita huku na kule kuchafuana kwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Spika Kificho aundiwa zengwe
MTAFARUKU wa aina yake umejitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao vilevile ni wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, baada ya waraka unaodaiwa kuwa wa kughushi kukamatwa...
11 years ago
Habarileo13 Jan
Rage aundiwa 'zengwe' Tabora
BAADHI ya wananchi mjini Tabora wamekiomba Chama Cha Mapinduzi kimtayarishie Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Rage mkutano wa hadhara ambao utawawezesha kumuuliza maswali mbunge huyo kuhusu utekelezaji wa Ilani ya chama hicho.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Waziri Kamani aundiwa zengwe
BAADHI ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na jumuiya zake wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu, wanadaiwa kuunda kambi ya kuvuruga utekelezaji wa ilani ya chama unaofanywa na mbunge wa...