Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Kamani aundiwa zengwe

BAADHI ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na jumuiya zake wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu, wanadaiwa kuunda kambi ya kuvuruga utekelezaji wa ilani ya chama unaofanywa na mbunge wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda aundiwa zengwe UVCCM

MIZENGWE ya urais wa 2015 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kupamba moto huku makundi ya wapambe wa makada wanaotajwa kuitaka nafasi hiyo, yakipita huku na kule kuchafuana kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Spika Kificho aundiwa zengwe

MTAFARUKU wa aina yake umejitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao vilevile ni wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, baada ya waraka unaodaiwa kuwa wa kughushi kukamatwa...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AUNDIWA ZENGWE ZITO

Na Mwandishi Wetu MTEULE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, Dk.John Pombe Magufuli, anaundiwa zengwe zito na wapinzani wake kisiasa baada ya kubaini kuwa watapata taabu kubwa kuibuka na ushindi katika patashika hiyo itakayofanyika Oktoba mwaka huu....soma zaidi===>http://bit.ly/1fiBy8M

 

11 years ago

Habarileo

Rage aundiwa 'zengwe' Tabora

BAADHI ya wananchi mjini Tabora wamekiomba Chama Cha Mapinduzi kimtayarishie Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Rage mkutano wa hadhara ambao utawawezesha kumuuliza maswali mbunge huyo kuhusu utekelezaji wa Ilani ya chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe aundiwa zengwe ubunge Hai

Wanachama wa Chadema wamedai kufichua mpango unaofanywa na baadhi ya viongozi wa CCM wa kumwekea pingamizi Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe ili asiwanie ubunge.

 

10 years ago

GPL

MH. PINDA AUNDIWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA URAIS

Mhe. Mizengo Pinda Na mwandishi wetu mzee wa kimyakimya, a.k.a Mtoto wa Mkulima, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameundiwa zengwe la kutogombea urais licha ya kudaiwa kuanza mbio za kusaka tiketi ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Vyanzo vya habari vimedai kuwa waziri mkuu huyo amewaambia marafiki zake wa karibu kuwa hatagombea tena nafasi hiyo tamu ya uongozi  kwa kile kilichotajwa kuwa ni...

 

10 years ago

GPL

ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!

Mwandishi wetu
Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung’aa kwenye vyombo vya habari baada ya baadhi ya watu kumpiga zengwe la madai kwamba eti hafanani na baba yake, Moses Iyobo ‘Moze’. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Huku ishu hiyo ikipingwa vikali na Aunt,...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Chegeni ambwaga Waziri Kamani

KamaniNA JOHN MADUHU, MWANZA

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Raphael Chageni, amembwaga Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani katika kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Busega mkoani Simiyu.

Hatua ya kushindwa kwa Dk. Kamani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, imemfanya aungane na mawaziri na manaibu waziri wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete walioangukia pua katika mbio za kusaka kurejea katika...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI DK. KAMANI ATEMA CHECHE BUSEGA

NA MWANDISHI WETU, BUSEGA.MWENYEKITI wa CCM mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani, amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo Madiwani, Makatibu wa Chama na Jumuia zake, kujiwekea ratiba ya kutembelea wananchi ili watambue kero zinazowakabili.
Dk. Kamani, ambaye pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama katika Kijiji cha Lamadi wilayani Busega.
Alisema huu sio wakati wa kukaa na kubweteka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani