MH. PINDA AUNDIWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA URAIS

Mhe. Mizengo Pinda Na mwandishi wetu mzee wa kimyakimya, a.k.a Mtoto wa Mkulima, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameundiwa zengwe la kutogombea urais licha ya kudaiwa kuanza mbio za kusaka tiketi ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Vyanzo vya habari vimedai kuwa waziri mkuu huyo amewaambia marafiki zake wa karibu kuwa hatagombea tena nafasi hiyo tamu ya uongozi kwa kile kilichotajwa kuwa ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Pinda aundiwa zengwe UVCCM
MIZENGWE ya urais wa 2015 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kupamba moto huku makundi ya wapambe wa makada wanaotajwa kuitaka nafasi hiyo, yakipita huku na kule kuchafuana kwa...
11 years ago
Habarileo13 Jan
Rage aundiwa 'zengwe' Tabora
BAADHI ya wananchi mjini Tabora wamekiomba Chama Cha Mapinduzi kimtayarishie Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Rage mkutano wa hadhara ambao utawawezesha kumuuliza maswali mbunge huyo kuhusu utekelezaji wa Ilani ya chama hicho.
10 years ago
GPL
MAGUFULI AUNDIWA ZENGWE ZITO
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Spika Kificho aundiwa zengwe
MTAFARUKU wa aina yake umejitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao vilevile ni wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, baada ya waraka unaodaiwa kuwa wa kughushi kukamatwa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Waziri Kamani aundiwa zengwe
BAADHI ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na jumuiya zake wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu, wanadaiwa kuunda kambi ya kuvuruga utekelezaji wa ilani ya chama unaofanywa na mbunge wa...
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Mbowe aundiwa zengwe ubunge Hai
10 years ago
GPLIDD AZZAN ASHTUSHWA KUPIGWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA
11 years ago
Vijimambo25 Oct
Pinda asukiwa zengwe



Hatua hiyo inadaiwa kufikiwa katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha Wakulima wa Pamba (Tacoga) na kufanyika juzi katika ukumbi wa Benki Kuu (BoT) jijini Mwanza.
Pamoja na kulenga ajenda za changamoto zinazowakabili wakulima, wafugaji...
10 years ago
GPL
ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!