Pinda asukiwa zengwe
Tuhuma zabuniwa dhidi yake
Lengo ni kupunguza nguvu zake Urais 2015
Mkakati wa kumdhibiti Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, umeelekezwa kwa jamii ya wakulima na wafugaji hususani waliopo mikoa ya kanda ya Ziwa Victoria.
Hatua hiyo inadaiwa kufikiwa katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha Wakulima wa Pamba (Tacoga) na kufanyika juzi katika ukumbi wa Benki Kuu (BoT) jijini Mwanza.
Pamoja na kulenga ajenda za changamoto zinazowakabili wakulima, wafugaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Pinda aundiwa zengwe UVCCM
MIZENGWE ya urais wa 2015 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kupamba moto huku makundi ya wapambe wa makada wanaotajwa kuitaka nafasi hiyo, yakipita huku na kule kuchafuana kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyDgsXHkaUI*tH68aoUaN5PCsHxQ3LcadP9LPQfL3FJeXw6ScFPmzGleVjBf2NrEyywLFb9ZgyP-el-hM52hjcZ2dAlqPN5z/pindapx.jpg?width=650)
MH. PINDA AUNDIWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA URAIS
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvRW5Z5zK*fG-G*3yOjWx9CAjLntPUPxmrypGRWyFi4dzXzoXB-F9f1g03Izy20-G8VzQgUrVq9klsjrxubXPTKU/BackAmani.jpg?width=650)
ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Zengwe la Ukawa
JOB Yustino Ndugai (55), amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa vigezo maalu
Mwandishi Wetu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3mZv6YnFzBpLdGARY0tyfVZC*CB6Dc2Qrn0GHjtrA2CixTKYkoTaZEWu6ndns2Kk9jNa*wWF*7E--sx07iSxAj/a.gif?width=650)
ZENGWE MJENGO WA DIAMOND!
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Spika Kificho aundiwa zengwe
MTAFARUKU wa aina yake umejitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao vilevile ni wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, baada ya waraka unaodaiwa kuwa wa kughushi kukamatwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3c2lOlaPEg7vuy4aMtjOMkYxA8FfC1v3cG2WmOz5Trl2FcsBhhskqgiJtrcbOlmwuU9LMOMHCKJj-NIIi3rG-h4/Magufuli.gif?width=650)
MAGUFULI AUNDIWA ZENGWE ZITO
10 years ago
Mwananchi06 Sep
MNH imenizushia ‘zengwe’-Dk Rashid