Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZENGWE MJENGO WA DIAMOND!

WAANDISHI WETU SIKU chache baada ya sehemu ya ukuta wa uzio wa mjengo wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuanguka, mtaalam wa majengo aliyejitambulisha kwa jina la Injinia Stuart Daniel ameupiga zengwe akidai licha ya kuonekana kuwa na nakshinakshi nyingi, lakini ni dhaifu na unaweza kudondoka. Akizungumza na Gazeti la Amani mwanzoni mwa wiki hii  baada ya nyota huyo kutupia picha za uzio wake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

THAMANI MJENGO WA DIAMOND BALAA

Mwandishi Wetu
KUKAMILIKA kwa mjengo wa Staa wa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiyo habari ya mjini kwa sasa ambapo gumzo zaidi ni kuhusu gharama halisi huku mkandarasi mmoja akikisia kuwa si chini ya sh. mil. 400, Risasi Mchanganyiko linakupa stori kamili. Mjengo wa Staa wa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Madale nje kidogo ya Jiji la Dar. Mjengo huo wa Diamond uliopo maeneo ya Madale nje kidogo ya Jiji...

 

10 years ago

GPL

ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!

Mwandishi wetu
Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung’aa kwenye vyombo vya habari baada ya baadhi ya watu kumpiga zengwe la madai kwamba eti hafanani na baba yake, Moses Iyobo ‘Moze’. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Huku ishu hiyo ikipingwa vikali na Aunt,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Zengwe la Ukawa

JOB Yustino Ndugai (55), amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa vigezo maalu

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Vijimambo

Pinda asukiwa zengwe

  Tuhuma zabuniwa dhidi yake
  Lengo ni kupunguza nguvu zake Urais 2015Mkakati wa kumdhibiti Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, umeelekezwa kwa jamii ya wakulima na wafugaji hususani waliopo mikoa ya kanda ya Ziwa Victoria.

Hatua hiyo inadaiwa kufikiwa katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha Wakulima wa Pamba (Tacoga) na kufanyika juzi katika ukumbi wa Benki Kuu (BoT) jijini Mwanza.

Pamoja na kulenga ajenda za changamoto zinazowakabili wakulima, wafugaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda aundiwa zengwe UVCCM

MIZENGWE ya urais wa 2015 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kupamba moto huku makundi ya wapambe wa makada wanaotajwa kuitaka nafasi hiyo, yakipita huku na kule kuchafuana kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Ivo afanyiwa zengwe Simba

ivo-mapundaaNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba imemtema kipa wake Ivo Mapunda, huku ikielezwa kuwa mkongwe huyo ameondoka katika timu hiyo baada ya kusukiwa zengwe ndani ya miamba hiyo.

Ivo alitua Simba Desemba mwaka juzi akitokea Gor Mahia ya Kenya, likiwa ni pendekezo la aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mcroatia Zdravko Logarusic na kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu uliomalizika Mei mwaka huu.

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Yanga,...

 

10 years ago

Mwananchi

MNH imenizushia ‘zengwe’-Dk Rashid

Daktari bingwa wa upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Adbulrahman Ismail Rashid, ameulalamikia uongozi wa hospitali hiyo kwa kumfukuza kazi miezi michache baada ya kutoka masomoni nchini Urusi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Spika Kificho aundiwa zengwe

MTAFARUKU wa aina yake umejitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao vilevile ni wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, baada ya waraka unaodaiwa kuwa wa kughushi kukamatwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani