Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THAMANI MJENGO WA DIAMOND BALAA

Mwandishi Wetu
KUKAMILIKA kwa mjengo wa Staa wa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiyo habari ya mjini kwa sasa ambapo gumzo zaidi ni kuhusu gharama halisi huku mkandarasi mmoja akikisia kuwa si chini ya sh. mil. 400, Risasi Mchanganyiko linakupa stori kamili. Mjengo wa Staa wa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Madale nje kidogo ya Jiji la Dar. Mjengo huo wa Diamond uliopo maeneo ya Madale nje kidogo ya Jiji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Beyonce na Jay Z kununua mjengo huu, una thamani ya shilingi bilioni 145 (Picha)

Mwaka 2014, Beyonce peke yake aliingiza zaidi ya dola milioni 115 na Jay Z aliingiza zaidi ya dola milioni 60 na hivyo si kitu cha kushangaza kama wanandoa hao wenye nguvu wakitoa dola milioni 85, kununua mjengo wa kifahari uliopo huko, Beverly Hills estate. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Bey bna Jay wameonekana kwenye […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Huu ndio mjengo mpya watakaohamia Jay Z na Beyonce wenye thamani ya $40m uliopo Los Angeles

Jay Z na Beyonce wamepata mjengo mpya wa kifahari jijini Los Angeles watakaopanga baada ya ule wa mwanzo kuuzwa. Mtandao wa TMZ umedai kuwa nyumba hiyo ina thamani ya dola milioni 45 na ipo kwenye maeneo ya Holmby Hills jijini humo. Watakuwa wakilipa dola 150,000 kwa mwezi na watalipia kodi ya mwaka mzima. Hizi ni […]

 

10 years ago

GPL

ZENGWE MJENGO WA DIAMOND!

WAANDISHI WETU SIKU chache baada ya sehemu ya ukuta wa uzio wa mjengo wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuanguka, mtaalam wa majengo aliyejitambulisha kwa jina la Injinia Stuart Daniel ameupiga zengwe akidai licha ya kuonekana kuwa na nakshinakshi nyingi, lakini ni dhaifu na unaweza kudondoka. Akizungumza na Gazeti la Amani mwanzoni mwa wiki hii  baada ya nyota huyo kutupia picha za uzio wake...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA DIAMOND ZAZUA BALAA!

Stori: Musa Mateja
ZILE tuzo saba alizotwaa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwenye mkesha wa Jumapili iliyopita ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam zimezua balaa! Ni balaa gani hilo? Risasi Jumatano linakumegea. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akipokea tuzo kutoka kwa Wema Sepetu. Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa Diamond walicharuka kufuatia...

 

10 years ago

GPL

MTUNGO WA ZARI BALAA! DIAMOND NI WA 13!

Stori: Sifael Paul
Ingawa mwenyewe amekuwa akikanusha kila kukicha, mrembo tajiri mwenye maskani yake nchi jirani ya Uganda na Afrika Kusini, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, anadaiwa kuwa na mtungo mrefu wa wanaume ambapo kama ni kweli anatoka na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ basi jamaa huyo atakuwa anashika nambari 13. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond azua balaa Ujerumani

Mwanamuziki Diamond Platinum juzi alizua kizaazaa baada ya vurugu kubwa kutokea nchini Ujerumani na kuvuruga tamasha ambalo alitakiwa kutumbuiza, lakini meneja wake amesema tukio hilo litasaidia kumtangaza zaidi.

 

11 years ago

GPL

LINAH, DIAMOND BALAA MWANZA

Stori: Musa Mateja UZINDUZI wa Serengeti Fiesta 2014 juzikati ulirindima baada ya msanii wa kizazi kipya anayefanya poa kwa sasa Estelina Sanga ‘Linah’, kufanya balaa wakati wakiimba wimbo walioshirikiana na mkali Nasib Abdul ‘Diamond’ jukwaani. Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Estelina Sanga ‘Linah’ na Nasib Abdul ‘Diamond’ wakicheza kwa pamoja katika uzinduzi wa Serengeti...

 

11 years ago

GPL

PENNY: THAMANI YA DIAMOND IKO PALEPALE

Stori: MAYASA MARIWATA
MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa ambaye ni zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ amesema katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu hata kama si wake tena. Penny akiwa na Diamond enzi za penzi lao. Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani