Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Chegeni ambwaga Waziri Kamani

KamaniNA JOHN MADUHU, MWANZA

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Raphael Chageni, amembwaga Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani katika kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Busega mkoani Simiyu.

Hatua ya kushindwa kwa Dk. Kamani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, imemfanya aungane na mawaziri na manaibu waziri wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete walioangukia pua katika mbio za kusaka kurejea katika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Hatimaye Dk Chegeni ambwaga Dk Kamani Busega

Hatimaye kitendawili kilichokuwa kikisubuliwa kwa hamu na wananchi wa jimbo la Busega mkoani Simiyu, kimeteguliwa baada ya kamati ya siasa ya wilaya hiyo kumtangaza Dk Raphael Chegeni kuwa mshindi katika kura za maoni ndani ya chama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Kamani aundiwa zengwe

BAADHI ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na jumuiya zake wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu, wanadaiwa kuunda kambi ya kuvuruga utekelezaji wa ilani ya chama unaofanywa na mbunge wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI DK. KAMANI ATEMA CHECHE BUSEGA

NA MWANDISHI WETU, BUSEGA.MWENYEKITI wa CCM mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani, amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo Madiwani, Makatibu wa Chama na Jumuia zake, kujiwekea ratiba ya kutembelea wananchi ili watambue kero zinazowakabili.
Dk. Kamani, ambaye pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama katika Kijiji cha Lamadi wilayani Busega.
Alisema huu sio wakati wa kukaa na kubweteka...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Waziri Kamani awafariji waathirika wa mafuriko

>Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Busega, Dk Titus Kamani amewatembelea waathirika wa mafuriko katika Kijiji cha Lamadi na kushuhudia hali halisi ya maafa hayo.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMANI ANG'ARA KIMATAIFA, APEWA TUZO

Na Mwandishi Watu
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (Pichani), amepewa Tuzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikali barani Afrika kutokana na wizara yake kuonyesha utendaji kazi wa hali ya juu.
Tuzo hizo ziliandaliwa na Kampuni ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, ambayo imejikita katika kutambua watu na viongozi wanaofanya kazi kwa ufanisi. Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hilton jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Kamani sasa ataka uwajibikaji, uwazi wizarani

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amesema ili kwenda na kasi ya maboresho ya wizara hiyo, inahitajika dhana ya uwajibikaji na uwazi sambamba na kujitolea kwa nguvu zote katika kufanya kazi.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMANI AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA WAVUVI WILAYANI UKEREWE


"Ndugu Meneja wa Kanda, napenda kuupongeza Mfuko wa Pensheni wa PPF ambao unatekeleza mojawapo ya sera zake ya kuhakikisha sekta isiyo rasmi inafikiwa kama ilivyo kwa sekta nyingine za uchumi hapa nchini. Hii itaongeza pato la Taifa hivyo kuzidi kuboresha maendeleo ya Watanzania kwa ujumla na kupunguza umaskini. Napenda kuwaambia kuwa kwa kuandaa semina hii muhimu katika eneo ambalo mimi mwenyewe nalisimamia imenipa faraja sana kwa kuona jinsi Mfuko huu wa PPF unavyowajali sekta zote za...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi  wa Covenant Bank,  Mama Sabetha Mwambenja, akimpokea  Waziri  wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, wakati akiwasili katika hafla ya kukabidhi Ng’ombe 83 wa Maziwa kwa wafugaji wadogo wa Kikundi cha Somangira walioko Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Ng’ombe hao wamenunuliwa kwa Mkopo kutoka Covenant Bank. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam katika hafla ya kukabidhi...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI DKT TITUS KAMANI ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI KATIKA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Mlengeya Kamani (wa kwanza kushoto) akiongoza zoezi la kuteketeza zana haramu za uvuvi huko Kasanga, Wilaya ya Kalombo mkoani Rukwa juzi wakati wa ziara yake. Zana haramu za uvuvi zikiteketea.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani