Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI KAMANI AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA WAVUVI WILAYANI UKEREWE


"Ndugu Meneja wa Kanda, napenda kuupongeza Mfuko wa Pensheni wa PPF ambao unatekeleza mojawapo ya sera zake ya kuhakikisha sekta isiyo rasmi inafikiwa kama ilivyo kwa sekta nyingine za uchumi hapa nchini. Hii itaongeza pato la Taifa hivyo kuzidi kuboresha maendeleo ya Watanzania kwa ujumla na kupunguza umaskini. Napenda kuwaambia kuwa kwa kuandaa semina hii muhimu katika eneo ambalo mimi mwenyewe nalisimamia imenipa faraja sana kwa kuona jinsi Mfuko huu wa PPF unavyowajali sekta zote za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dk. KAMANI AFUNGUA SEMINA YA PPF NA WAVUVI - UKEREWE

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus. M. Kamani (Mb) akifungua semina ya PPF kwa wavuvi wa Ukerewe iliyofanyika Wilayani Ukerewe hivi karibuni. Kushoto kwake ni Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa Bw. Meshack Bandawe na kulia kwake ni Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Bi. Mariam Mapunda. Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Bi. Mariam Mapunda akizungumza wakati wa semina ya PPF kwa wavuvi wa Ukerewe. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke Bw. Mapunda. Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa Bw....

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamani afungua semina kuhusu makabila ya asili

001

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk Titus Kamani   akifungua  semina ya siku mbili ya kimataifa inayozungumzia makabila ya asili, haki zao na namna ya kuboresha maisha na mifumo ya chakula . Semina hiyo inayofanyika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam inajiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za asili ambalo litafanyika Roma Italia, Februari 2015.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

002

Mwakilishi Shirika la Kimataifa la maendeleo ya Kilimo, IFAD, Bw.Francisco Pichon...

 

10 years ago

Michuzi

DK. KAMANI AFUNGUA SEMINA KUHUSU MAKABILA YA ASILI

001
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk Titus Kamani akifungua semina ya siku mbili ya kimataifa inayozungumzia makabila ya asili, haki zao na namna ya kuboresha maisha na mifumo ya chakula . Semina hiyo inayofanyika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam inajiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za asili ambalo litafanyika Roma Italia, Februari 2015.002Mwakilishi Shirika la Kimataifa la maendeleo ya Kilimo, IFAD, Bw.Francisco Pichon akisisitiza jambo wakati wa kongamano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Kamani: Wataalamu SUA wainueni wavuvi, wafugaji

“KUNA kila sababu kwa sekta ya mifugo na uvuvi kuwa na mchango mkubwa wa kuchangia pato la taifa na kuwainua wananchi wanaojihusisha na shughuli hizo kibiashara.” Hayo ni maneno ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kamani: Nitaleta mabadiliko kwa wafugaji, wavuvi

WAZIRI wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk Titus Kamani amesema amebebeshwa mzigo mzito kuongoza wizara hiyo, kutokana na mtikisiko mkubwa ulioko katika wizara hiyo, unaosababishwa na kukithiri kwa migogoro baina ya wafugaji na wakulima.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA AFUNGUA SEMINA YA VIJANA MKOANI LINDI

Mgeni rasmi kwenye mafunzo ya stadi za kazi na utambuzi wa fursa za kiuchumi zilizopo mkoa wa Lindi Naibu waziri wa kazi na ajira mhe.Dr. Makongo Mahanga (MB) amewataka vijana wa mkoa wa Lindi kuyageuza mafunzo watakayoyapata ya stadi za maisha sanjari na kuzitambua fursa zilizopo ndani ya mkoa, waweze kujiajiri na kujikomboa kiuchumi,wakati wa  uzinduzi wa mafunzo hayo ambapo jumla ya vijana 360 kutoka halmashauri sita zilizopo mkoani Lindi wameudhuria kwenye ukumbi wa kanisa katoliki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Afya afungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu usalama wa chakula

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif  (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Kitwanga afungua semina kuhusu matumizi ya gesi asilia nchini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga akifungua rasmi semina kuhusu matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan Tanzania, Masaki Okada akizungumza na wadau na wataalamu wa gesi asilia (hawapo pichani) waliohudhuria semina ya matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam.Wataalamu na wadau wa gesi asilia kutoka Japan na Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFUNGUA RASMI SEMINA YA WACHIMBAJI WADOGO KIBARA, MKOANI MARA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara. Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa sheria na kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mhe. Kangi Lugora. Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe. Mtalaamu kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani