Dk. KAMANI AFUNGUA SEMINA YA PPF NA WAVUVI - UKEREWE
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus. M. Kamani (Mb) akifungua semina ya PPF kwa wavuvi wa Ukerewe iliyofanyika Wilayani Ukerewe hivi karibuni. Kushoto kwake ni Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa Bw. Meshack Bandawe na kulia kwake ni Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Bi. Mariam Mapunda.
Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Bi. Mariam Mapunda akizungumza wakati wa semina ya PPF kwa wavuvi wa Ukerewe. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke Bw. Mapunda.
Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa Bw....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
WAZIRI KAMANI AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA WAVUVI WILAYANI UKEREWE

10 years ago
Michuzi16 Dec
DK. KAMANI AFUNGUA SEMINA KUHUSU MAKABILA YA ASILI

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk Titus Kamani akifungua semina ya siku mbili ya kimataifa inayozungumzia makabila ya asili, haki zao na namna ya kuboresha maisha na mifumo ya chakula . Semina hiyo inayofanyika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam inajiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za asili ambalo litafanyika Roma Italia, Februari 2015.

10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Kamani afungua semina kuhusu makabila ya asili
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk Titus Kamani akifungua semina ya siku mbili ya kimataifa inayozungumzia makabila ya asili, haki zao na namna ya kuboresha maisha na mifumo ya chakula . Semina hiyo inayofanyika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam inajiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za asili ambalo litafanyika Roma Italia, Februari 2015.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
Mwakilishi Shirika la Kimataifa la maendeleo ya Kilimo, IFAD, Bw.Francisco Pichon...
11 years ago
Habarileo23 Jan
Kamani: Nitaleta mabadiliko kwa wafugaji, wavuvi
WAZIRI wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk Titus Kamani amesema amebebeshwa mzigo mzito kuongoza wizara hiyo, kutokana na mtikisiko mkubwa ulioko katika wizara hiyo, unaosababishwa na kukithiri kwa migogoro baina ya wafugaji na wakulima.
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Dk. Kamani: Wataalamu SUA wainueni wavuvi, wafugaji
“KUNA kila sababu kwa sekta ya mifugo na uvuvi kuwa na mchango mkubwa wa kuchangia pato la taifa na kuwainua wananchi wanaojihusisha na shughuli hizo kibiashara.” Hayo ni maneno ya...
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete afungua jengo la PPF Mwanza


11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
MichuziPPF YAENDESHA SEMINA KWA MAAFISA WA MAKAMPUNI MBALIMBALI KATIKA (KANDA YA KINONDONI) MKOA WA TANGA LEO
Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Kinondoni (inayojumuisha wilaya za Kibaha,Bagamoyo na mkoa wa Tanga),Bi. Zahra Kayugwa akizungumza na washiriki wa semina ya Mfuko wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga leo.